chazachaza
JF-Expert Member
- Feb 21, 2018
- 2,829
- 3,835
Basi hiki kina wivu sana.Ni wachache kulingana na wababa
Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi hiki kina wivu sana.Ni wachache kulingana na wababa
huyu ni presha lakini na kafia nyumbani tuache speculationNina shangaa Sana ,najiulizaaa sipati jibu...Kuna nn ikulu???hata Kama ni huyu mgeni covid why kumeng'ang'aniwa halafu interval (3-5 )days.ngoja niendelee kutafiti.
Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
nimekusoma mzee wa kula kimasihara
Ugonjwa unatafuna watu ndugu acha tu...Jana mzee baba nilimuonea huruma sana ila ndo hivyo ujabala bado anaonimekusoma mzee wa kula kimasihara
Nani kakwambia kuwa ili corona inakondesha?ila hajafa kwa corona ni presha si unaona shavu dodo ilo
Mbona wewe ni mpuuzi sana lkn bado watu wanakuvumilia na kukuheshimu kwa michango yako hata kama ni ya kipuuzi?Nina hakika wewe UNA MATATIZO YA AKILI! Hivi kwako kila kifo - chanzo na sababu yake ni Corona? Kweli? Au na wewe ni kati ya wale waj**** wachache mnaolipwa vijisenti kuropokaropoka mambo ya upuuzi humu JF?
Ukivuka mipaka lazima uambiwe ukweli ili ujue kuwa ulichoandika hakina maana hasa hasa inapohusu masuala makini na yanayohusu na kukugusa taarifa za maisha na misiba humu JF. Huo ndiyo ukweli labda kilichozidi hapo kwenye mchango wangu ni lugha kali! Kwa hilo nasema SORRY!Mbona wewe ni mpuuzi sana lkn bado watu wanakuvumilia na kukuheshimu kwa michango yako hata kama ni ya kipuuzi?
Hongera sana kwa uungwanaUkivuka mipaka lazima uambiwe ukweli ili ujue kuwa ulichoandika hakina maana hasa hasa inapohusu masuala makini na yanayohusu na kukugusa taarifa za maisha na misiba humu JF. Huo ndiyo ukweli labda kilichozidi hapo kwenye mchango wangu ni lugha kali! Kwa hilo nasema SORRY!
zinatoka mndukuni kwako.wabongo mnaakili ndogo za kipuuzi kweli kweli,kila kifo ni Corona?
kabla ya neno Corona huko mahospitalini kila siku walikua watu wakifa na kuzikwa..kila siku iendayo kwa MUNGU. Hivi hizi akili za kipumbavu namna hii mnatoa wapi?
Wanaume tuna pitiaga mengi mazito na magumu lazima titanguliye tu!Tunawalindaje sasa😎😎 au tujitenge nao🙌
Mkuu GT umeandika kwa huzuni sana. His death touched you so much.Lo lo lo!!
Likwelile kaondoka?
Jamani corona nomaa!!
Kwa hiyo unatushauri wote tukae Nyumbani!? Na nani atakua barabarani kuendesha Maisha yetu ya kila siku!?Corona itamalizika kwa rika zote kufuata masharti. Hata mzee akikaa nyumbani kama kijana hafuati masharti atampelekea virus yule mzee aliyebaki nyumbani. Upo hapo?
Mapambano ni ya wote. Acha mindset za kibongobongo.Pambana sasa kuyajali
Kwa sababu wanaume wa Kiafrika tuna bebeshwa majukumu mengi sanaNi wachache kulingana na wababa
Mna vitukoMvaa Barakoa wa Jana High Table wa Chalinze ana taarifa?
Una matatizo makubwa SanaMapambano ni ya wote. Acha mindset za kibongobongo.
Asante mkuu na wewe piaR.I.P
Hili ndilo tatizo la elimu yetu. Watu hawako informed na uelewa wao uko chini sana. Na mbaya zaidi nikishaona mtu kaanza sentensi na ''kwa hiyo... '' ni lazima atamalizia na conclusion ya kijinga. Huwezi kukaa nyumbani muda wote. Hata hao wazee kwa maisha ya kiafrika yalivyo hawawezi kukaa nyumbani muda wote. Cha muhimu ni kuchukuwa hatua. Bila shaka unazijua kwani zinaimbwa kila siku... ni mwaka sasa.Kwa hiyo unatushauri wote tukae Nyumbani!? Na nani atakua barabarani kuendesha Maisha yetu ya kila siku!?