TANZIA Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Dkt. Servacius Likwelile afariki dunia

TANZIA Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Dkt. Servacius Likwelile afariki dunia

Hili ndilo tatizo la elimu yetu. Watu hawako informed na uelewa wao uko chini sana. Na mbaya zaidi nikishaona mtu kaanza sentensi na ''kwa hiyo... '' ni lazima atamalizia na conclusion ya kijinga. Huwezi kukaa nyumbani muda wote. Hata hao wazee kwa maisha ya kiafrika yalivyo hawawezi kukaa nyumbani muda wote. Cha muhimu ni kuchukuwa hatua. Bila shaka unazijua kwani zinaimbwa kila siku... ni mwaka sasa.
Kwa hiyo unataka kusema wote waliopata Corona,walikua hawachukuwi tahadhari!?
 
wabongo mnaakili ndogo za kipuuzi kweli kweli,kila kifo ni Corona?

kabla ya neno Corona huko mahospitalini kila siku walikua watu wakifa na kuzikwa..kila siku iendayo kwa MUNGU. Hivi hizi akili za kipumbavu namna hii mnatoa wapi?
Wewe nawe. KWANI ULITAKA WAFE NA NINI??? 😬😬😬😬😬
 
Nina hakika wewe UNA MATATIZO YA AKILI! Hivi kwako kila kifo - chanzo na sababu yake ni Corona? Kweli? Au na wewe ni kati ya wale waj**** wachache mnaolipwa vijisenti kuropokaropoka mambo ya upuuzi humu JF?
Kwani ulitaka WAFE na nini?
 
AC, Air Conditioner, ninahisi watumiaji wa AC wapo kwenye hatari zaidi ya kupata madhara makubwa ya Corona
 
Kwa hiyo unataka kusema wote waliopata Corona,walikua hawachukuwi tahadhari!?
Here we go again..... ''Kwa hiyo....''. Watu wenye kawaida ya kuanza sentensi na maneno ''kwa hiyo.....'' kwenye mijadala mara zote wanafanya wrong conclusion. Ni nani kasema wote waliopata walikuwa hawachukui tahadhari ndugu wee? Kuna wengine wamechukuwa tahadhari zote lakini mpumbavu mmoja asiyechukuwa tahadhari akasababisha waambukizwe. Ndiyo maana tunasema kila mtu achukuwe hatua.
 
Vicky Kamata atangaza kuondokewa na mwenza wake Dkt. Servacius Beda Likwelile. Moja ya wahadhiri nguli na wanazuoni wa kitanzania Dkt. Servacius Likwelile hatunaye. Dkt. Likwelile amewahi kuhudumu katika Wizara ya Fedha na Mipango kama Katibu Mkuu kabla ya uteuzi wake kutenguliwa mwaka 2016.

Pia soma

- Vicky Kamata afunga Ndoa na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Dk. Likwelile

Maandiko hayaja wahi kusema uongo. Hata uwe na kiburi kiasi gani.. Utakufa tuu..
 
Here we go again..... ''Kwa hiyo....''. Watu wenye kawaida ya kuanza sentensi na maneno ''kwa hiyo.....'' kwenye mijadala mara zote wanafanya wrong conclusion. Ni nani kasema wote waliopata walikuwa hawachukui tahadhari ndugu wee? Kuna wengine wamechukuwa tahadhari zote lakini mpumbavu mmoja asiyechukuwa tahadhari akasababisha waambukizwe. Ndiyo maana tunasema kila mtu achukuwe hatua.
Njia nzuri ya kuishinda Corona ni kuimarisha Kinga zako za Mwili,haya ya Barakoa ni kujiongezea matatizo kwenye swala zima la upumuwaji,hasa wale wenye pumu toka wakiwa wadogo!!
 
Tukimbilie wapi mkuu au tusubiri tu maana kuna watu wana vaa barakoa bado ina wabeba!
Pengine siku sio nyingi misiba ikakosa watu kwa kuhofia usalama wa afya!
Tuendelee kuchukua tahadhari na kumuomba Mungu maana giza limetanda pengine ndio pana karibia kupambazuka
Mkuu woga umetanda kila mahali....kilichobakia ni kujikabidhi tu kwa Mungu maana hali imeshakuwa mbaya sana......
 
Njia nzuri ya kuishinda Corona ni kuimarisha Kinga zako za Mwili,haya ya Barakoa ni kujiongezea matatizo kwenye swala zima la upumuwaji,hasa wale wenye pumu toka wakiwa wadogo!!
You are totally wrong. Kuna mamilioni ya watu ambao hata wangefanya juhudi namna gani kuongeza kinga lakini wakipata corona itakuwa fatal. Ndiyo maana nasema watanzania wengi hatuko informed na suala zima la corona kwa hiyo tunakuja na dhana potofu nyingi. Nchi wanazotumia barakoa wametoa mwongozo kabisa... ''kwa wale wenye matatizo ya kiafya wanapovaa barakoa basi wasivae''. Pia kuvaa barakoa mtu havai muda wote. Ni pale unapokuwa kwenye sehemu ambayo ina watu wengi na social distance haiwezekani.
 
RIP DK WANGU
TUNAKUFA NA HOFU NDIO. MAANA MNAMBIWAAA MTAKUFAA
MZEE ALIUMWA B4 HIZI MIELEKA KILA AKIFA MTU CORO

MTAISHAAAA WOTEEEE KWA HOFUU
 
Back
Top Bottom