TANZIA Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Dkt. Servacius Likwelile afariki dunia

TANZIA Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Dkt. Servacius Likwelile afariki dunia

Tafiti isiyo rasmi: 96% ya death cases ni wanaume aged beyond 50 years. #TuwalindeWababa!
Tatizo ni nini mbona wababa ndio wengi!

Madaktari ufafanuzi tafadhali au wanaume ndio wana matatizo ya kinga ya mwili?
 
Mkuu woga umetanda kila mahali....kilichobakia ni kujikabidhi tu kwa Mungu maana hali imeshakuwa mbaya sana......
Kweli kabisa ndugu kuna jamaa jirani yangu ana vaa barakoa sanitizer hakosi kwenye gari huyu adi akiwa kwenye gari mwenyewe ana vaa barakoa ila imemdaka!
Tuchukuwe tahadhari kubwa sana haswa mtu anapo muuguza mgonjwa maana wengi wano uguza wana uguwa pia!
 
Kweli jasiri yeye hadi mfiwa anapata nguvu ya kuandika kuchagua picha na kupost instagram!! Wafiwa wa siku hz utamkuta na nguvu ya kuchagua sare kuchagua nguo kujiremba kutoa hotuba nk nk Asubiri mirathi tu aongeze utajiri
Una mawazo ya kale kuwa ukifiwa usioge uwe mchafu ndo mawazo yako. Huyo kawajulisha ndugu na jamaa
 
Kwani ulitaka WAFE na nini?
Wafe kwa magonjwa/ugonjwa wanaougua au kuumwa SIYO huu mnaowabambikia NYIE msiyoitakia mema Tanzania yetu na wenye kuishi kwa kuzusha maneno ya uongo as per directives from your overseas masters!
 
[emoji120]
FB_IMG_1613757559328.jpg

Sent from my SM-G955F using JamiiForums mobile app
 
Kweli kabisa ndugu kuna jamaa jirani yangu ana vaa barakoa sanitizer hakosi kwenye gari huyu adi akiwa kwenye gari mwenyewe ana vaa barakoa ila imemdaka!
Tuchukuwe tahadhari kubwa sana haswa mtu anapo muuguza mgonjwa maana wengi wano uguza wana uguwa pia!
Mimi tangawizi imeniokoa sana yaani nilikuwa nakiona kifo miguuni.......sasa hivi natafuna tangawizi kama karanga.......yaani kila saa najitafuna kama mbuzi....vile.....
 
Back
Top Bottom