TANZIA Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Dkt. Servacius Likwelile afariki dunia

TANZIA Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Dkt. Servacius Likwelile afariki dunia

Wazee tunaisha.......moyo unaenda mbio kwa uoga.....nikiiwazia tu corona najihisi pumzi inakata muda wowote.......


Liwalo na liwe......
Tukimbilie wapi mkuu au tusubiri tu maana kuna watu wana vaa barakoa bado ina wabeba!
Pengine siku sio nyingi misiba ikakosa watu kwa kuhofia usalama wa afya!
Tuendelee kuchukua tahadhari na kumuomba Mungu maana giza limetanda pengine ndio pana karibia kupambazuka
 
Vicky Kamata atangaza kuondokewa na mwenza wake Dkt. Servacius Beda Likwelile. Moja ya wahadhiri nguli na wanazuoni wa kitanzania Dkt. Servacius Likwelile hatunaye. Dkt. Likwelile amewahi kuhudumu katika Wizara ya Fedha na Mipango kama Katibu Mkuu kabla ya uteuzi wake kutenguliwa mwaka 2016.

Pia soma

- Vicky Kamata afunga Ndoa na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Dk. Likwelile

Mi nauwaza msambwanda wa mke wake tu,Vick Kamata,aje kwangu tu,ni mlee

Sent from my TECNO CD6 using JamiiForums mobile app
 
Mbna wazee Tu , au Mungu ameamua kuwapigania vijana kivingine wapate ajira ...R.I.P mwamba , tukutane asubuhi njema ya ufufuo kama ulizichanga vizur kete hapa duniani na Mungu wako lakni..kama uliharibu basi tena
Vijana wanakufa ndugu yangu japo si kwa kasi ya 5G
 
Corona itamalizika kwa rika zote kufuata masharti. Hata mzee akikaa nyumbani kama kijana hafuati masharti atampelekea virus yule mzee aliyebaki nyumbani. Upo hapo?
Kila mmoja apambane na Hali yake , kila mmoja kaumbwa kivyake , Kaja duniani kivyake, atakufa kivyake na atazikwa kivyake....hakuna wa kulaumu mwenzake
 
Kweli jasiri yeye hadi mfiwa anapata nguvu ya kuandika kuchagua picha na kupost instagram!! Wafiwa wa siku hz utamkuta na nguvu ya kuchagua sare kuchagua nguo kujiremba kutoa hotuba nk nk Asubiri mirathi tu aongeze utajiri

What if mtu kampostia?
 
Back
Top Bottom