TANZIA Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Dkt. Servacius Likwelile afariki dunia

Uongo mtupu,pia 5G haina madhara yoyote.
Acha kuokoteza debunked conspiracy theories za Gwajima, utawehuka.
Nimeamini wewe hujasoma,kwa hiyo kubishana na wewe ni kupoteza muda bure.5G haina madhara!Kafanye homework yako vizuri,taarifa kuhusu madhara ya 5G zimejaa mtandaoni.

Halafuu,wewe hufundishiki,nimeshakuambia conspiracy maana yake ni kufanya kitu evil au unlawful against someone,sasa mimi nimefanya kitu gani evil and unlawful,sana sana ninafunua siri za baba yako Shetani.Acha kuwekewa maneno mdomoni wewe,jitambue!
 
Na ndo watu wanachofeli mkuu!
Yaani watu hawajiulizi kwann imerudi!?
Hii ngoma tusipotubu kwa Mungu kwa kumaanisha na kumrudia,trust me,wengi wanaondoka,hii ni gadhabu ya Mungu!
 
Kama huelewai maana ya pandemic ni bora ukatafute conspiracy ya dunia ni flat uipandishe jukwaani
Everything about C-19 is a hoax.The virus has never been isolated,does not adhere to Kock's postulates,so it is not a disease.By implication therefore it is not a pandemic,it is a scandemic.
 
Hii ni gadhabu ya Mungu!
Watu tunatubu Mungu aondoe tatizo,then tunaendelea na maisha yaleyale ya ajabuajabu halafu tunategenea Mungu afurahi?
Take note; not this time!
Mambo yamebadirika na yatabarika!
Asikiae na afahamu!
 
Uongo
Hii ni gadhabu ya Mungu!
Watu tunatubu Mungu aondoe tatizo,then tunaendelea na maisha yaleyale ya ajabuajabu halafu tunategenea Mungu afurahi?
Take note; not this time!
Mambo yamebadirika na yatabarika!
Asikiae na afahamu!
 
Akajasembamba sikia: Mwaka Jana tuliishinda corona kwa maombi, si sababu yoyote nyingine! Hayo uliyoyataja nchi zingine ziliyafanya kwa kiwango Cha Hali ya juu lakini corona haikuwaacha. Mwaka huu tutashinda pia kwa kumwomba Mungu!
Ni Toba tu,sbb hii ni gadhabu ya Mungu kabisa!
Tuliomba akaiondoa halafu tunaendelea na maisha yaleyale badala ya kumrudia na kuacha uovu
 

Yale yale ya Y2K.

Change is a challenging process, change management strategies should be formulated and implemented to ensure communities are well informed and ready to embrace changes.

It is hard to go away from conspiracy theories.
 
Mimi nimeamua kutafuna tangawizi kama nakula miwa vile.......mifuko yote imejaa tangawizi......

Huu mwaka kutoboa ni bahati nasibu....
Mkuu japo umenichekesha lakini nimeona huruma sana, kwenye kula tangawizi ongeza na machungwa na kunywa maji au chai yenye limao ili uongeze vitamin C mwilini, otherwise ongeza na vidonge vya vitamin C.
 
Tafuna tuu dear, bado nakupenda

Sent from my TECNO maana maisha matamu.....

Mkuu japo umenichekesha lakini nimeona huruma sana, kwenye kula tangawizi ongeza na machungwa na kunywa maji au chai yenye limao ili uongeze vitamin C mwilini, otherwise ongeza na vidonge vya vitamin C.
Asante sana kwa ushauri wako mkùu Mungu akubariki sana......kwa pamoja tutaishinda vita....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…