Zogwale
JF-Expert Member
- Jul 10, 2008
- 15,295
- 10,928
Kabla ya aliyefariiki kuna wa kwanza kabisa wa ndoa. Alikuwa CEO wa iliyokuwa Presidential Trust Fund aliondoka sijui aliajiriwa wapi tena. Ni mtu mzima kwa sasa.Waliachana au mke wake alifariki? Nakumbuka mke wake alifariki akiwa Mzee Likwelile walikuwa hawajaachana.