TANZIA Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Dkt. Servacius Likwelile afariki dunia

TANZIA Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Dkt. Servacius Likwelile afariki dunia

wabongo mnaakili ndogo za kipuuzi kweli kweli,kila kifo ni Corona?

kabla ya neno Corona huko mahospitalini kila siku walikua watu wakifa na kuzikwa..kila siku iendayo kwa MUNGU. Hivi hizi akili za kipumbavu namna hii mnatoa wapi?
Mbona hayo uliyoandika ni kama umejiandikia wewe. Yaani huoni kuna kitu kisicho cha kawaida kabisa.
 
Hii corona ukiwa na pressure, kisukari Unaweza kupona kirahisi lakini ukiwa na ngwengwe kupona ni ngumu. Lukuvi kapona labda hana ngwengwe
Wakati ule Daktari Likwelile alikuwa Negative wakati mke wake ni positive. Mke kaokoka na hata kupeleka gari kanisani!!!!!! Tuache hayo kashaondoka
 
wizara ya Afya imesha toa tahadhari ya kila mtu ajikinge kwa kuto kusalimiana kwa kushikana mikono, kukaribiana, kunawa mikono, lkn tutumie dawa zetu asilia bila kusahau nyungu. na bila kusahau kumuomba Mungu.
kwa Tanzania bado korona haijawa tishio.
tuendelee kuchapa kazi huku tukijihadhari.
 
Kweli kabisa mkuu
Mtu mwenye sukari na pressure na kinga pungufu wapo kwenye wakati mgum Sana
Mwenye sukari na pressure kupona rahisi. Lakini ngoma ukiwa nayo na uongezee sukari na pressure lazima uondoke tu
 
Mwenye sukari na pressure kupona rahisi. Lakini ngoma ukiwa nayo na uongezee sukari na pressure lazima uondoke tu
Hii kitu yenyewe inapandisha sukari mkuu wenye vvu wana afadhali kiasi ila sukari ni kisanga
 
Mbna wazee Tu , au Mungu ameamua kuwapigania vijana kivingine wapate ajira ...R.I.P mwamba , tukutane asubuhi njema ya ufufuo kama ulizichanga vizur kete hapa duniani na Mungu wako lakni..kama uliharibu basi tena
Hii nayo point ujue[emoji848][emoji848]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom