SlimFit
JF-Expert Member
- Mar 29, 2016
- 2,041
- 3,119
Hata yeye ataziacha hizo mali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata yeye ataziacha hizo mali
V ana cheti Cha hiyo ndoa?
Okay lete vitu
Tunasubiria
How...si ndo mke? Au anagombania na watoto wakubwa! Duh
NdioHow...si ndo mke? Au anagombania na watoto wakubwa! Duh
😀😀😀
Mtoto mkubwa wakwanza anaweza kuwa na umri gani?
Miss Natafuta wa leo siyo wa jana.Kweli maisha yanaenda kasi sana!😄😄😄
Mkewe si alishadead mkuuV ana cheti Cha hiyo ndoa?
S.L alikuwaga na mke wake Tena mzuri TU kabla V kuingilia ndoa yao. Hiyo Ni baada ya V kutemwa na Lile tapeli la mapenzi enzi zake za ubunge
MuoneMiss Natafuta wa leo siyo wa jana.Kweli maisha yanaenda kasi sana![emoji1][emoji1][emoji1]
Siku hizi umekuwa dada mzuri mzuri!😄😄😄
du kumekucha kumekuchaaaa kwanini wasigawane nusu kwa nusu kila mtu afe na chake kumbe viki anajifanya anasali kumbe mnafiki tuNimesikia mjane anataka kudhulumu mali za marehemu. Mijumba karibia kumi Mashamba na mandinga