Aliyekuwa katibu Mkuu wizara ya fedha 'mtoto wa dada' yuko wapi?

Aliyekuwa katibu Mkuu wizara ya fedha 'mtoto wa dada' yuko wapi?

Yupo na anaendelea na utumishi wake katika maeneo mengine.

Usiwaombee wote mabaya,pambana na life yako hapo kijiweni ulipo.

Ukishaingia kwenye system hautoki kijinga kijinga.

Na hata akiwa uraiani,life yake haitafanana na yako asilani.
 
Mtu kauliza yuko wapi wewe wasema anaombea watu mabaya
 
Alitoa Wizara ya Fedha akaja kwetu Wizara ya Viwanda na Biashara! Baadae akatolewa tena! Kwa sasa sijui yuko wapi lakini mara nyingi hua anaonekana Mwanza
 
Aliteuliwa kwenda sijui kitengo gani sijui yupo mikoani au wizara gani hata sijui. Ni mfumo wa maisha ngoja tusubiri 2025 tuone mageuzi ya familia mpya za wajane ndio tutaongea kwa uwiano sawa.
 
Tupo nae kule kwenye thread pendwa ya wazee wa kuweka mikeka
 
Back
Top Bottom