Machame Juu
JF-Expert Member
- Jul 25, 2013
- 1,514
- 3,363
Mtu kauliza yuko wapi wewe wasema anaombea watu mabayaYupo na anaendelea na utumishi wake katika maeneo mengine.
Usiwaombee wote mabaya,pambana na life yako hapo kijiweni ulipo.
Ukishaingia kwenye system hautoki kijinga kijinga.
Na hata akiwa uraiani,life yake haitafanana na yako asilani.
Alishatoka zamani tu!KATIBU MKUU WIZARA YA VIWANDA