Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Ni ngumu sana kufundisha vilaza wa mpira.
Ni ngumu sana kufundisha vilaza wa mpira.
Napinga.. nashauri watafute kocha toka brazil hata kama anafundisha daraja la 10.Kocha yeyote akitaka kuchafua CV yake aje kuifundisha hii timu ya ILANI.
Aondoke tu hakuna namnaHii ni taarifa inayosambaa kwa kasi mitandaoni kwa sasa .
Taarifa zinaonyesha kwamba kocha huyu ameiongoza Taifa Stars kwa mechi 10 na kufanikiwa kupata ushindi wa mechi mbili ikiwemo ile ya ujirani mwema dhidi ya Uganda , amepata sare mechi 2 na kufungwa mechi 6 .
More to follow .......
Asepe tuHii ni taarifa inayosambaa kwa kasi mitandaoni kwa sasa .
Taarifa zinaonyesha kwamba kocha huyu ameiongoza Taifa Stars kwa mechi 10 na kufanikiwa kupata ushindi wa mechi mbili ikiwemo ile ya ujirani mwema dhidi ya Uganda , amepata sare mechi 2 na kufungwa mechi 6 .
More to follow .......
Kumbe,mbona hamkumbakisha Maximo?Napinga.. nashauri watafute kocha toka brazil hata kama anafundisha daraja la 10.
Brazil kila mtu anajua soka
+ siasaNi ngumu sana kufundisha vilaza wa mpira.
wamrudishe kim poulsen..wasilete ngedere asiyeelewekaHivi ni kocha gani aliwahi kuja Tanzania akaondoka tunamsifu akiwa na record nzuri? Kila kocha aliyewahi kufundisha Tanzania aliondoka kwa aibu.
Kuna wakati kuna maamuzi yanachukuliwa na ukihoji unafungiwa vioo vya madirisha na milango .. Nina uzi umepigwa kufuli nimejaribu kuulizia sijajibiwa....View attachment 1149200
Kabla ya kufuta uzi ni vema ukijiridhisha kama hizo taarifa ni za uongo ama la ! habaribile wala haikuwa uhujumu uchumi wala haikuwa matusi , tujifunze kuvumilia tusiyopenda kusikia .
wacha tuwatakie tu kila la heri kwenye maamuzi yaoKuna wakati kuna maamuzi yanachukuliwa na ukihoji unafungiwa vioo vya madirisha na milango .. Nina uzi umepigwa kufuli nimejaribu kuulizia sijajibiwa....
safi sanaBREAKING NEWS : Aliyekuwa kocha mkuu wa Taifa Stars Emmanuel Amunike, amefutwa kazi na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), ikiwa ni siku chache zimepita baada ya timu hiyo kutolewa hatua ya makundi kwenye fainali za AFCON