Mm naanzie kutoka hispania 2010 kuchukua kumbe la dunia mwaka 2009 Barcelona inachukua uefa wachezaji wasiopungua 7 wa kikosi Cha Kwanza Cha hispania walikuwa wanatokea Barcelona wakiwa kama pique,puyor, busquet, inester,xavi,Villa, Pedro,na fabregas ukija Madrid walitoka Kama casllas,Alonso,ramosi ukiachia hao wengne ko mpira uliokuwa ukipgwa ni ule kwa kuwa wachezaji ni wale wale na wanajuana hata Kama wasipokaa kambini muda mrefu unakuja ujeruman 2014 wanachukua kombe la dunia wachezaji wengi walikuwa wametoka kuchukua uefa mwaka mmoja nyuma 2013 bayn Munich Kama schulle,murra,nuer,shwasteiger,kroos,close na wengne wengi lkn unakuta ni muanganiko wa wachezaji mzur au combination nzur ili timu ya taifa ifanye vizur ni lazma kuwe na vitu viwili muanganiko mzur wa wachezaji kitu uwezo wa wachezaji mfano ufaransa kuchukua kombe la dunia ni uwezo wa mchezaji mmoja mmoja ndo maana Kila mtu alikuwa ana uwezo wa kuscore goal syo kumtegemea mchezaji au wawil wafunge SASA hapa bongo tunavikosa vitu vyote hivyo viwili hakuna muanganiko mzuri wa wachezaji Na kingne hatuna wachezaji wenye uwezo wa mmoja mmoja tunategemea tucheze kitimu muda huo hatuna kiungo namba 8 wakuhold mpira Na kuweka pass nzuri ya goal Na ndo maana AMUNIKE alisema bongo hatuna kiungo Kama chama ningempata mtu Kama chama Basi timu ingefika mbali lkn watanzania tukamnukuu vibaya ila alizumgza ukweli ila sisi tukaingiza usimba na uyanga Sasa hatuwezi fika mbali