Pia kubalansi maisha ya familia yake na kazi. Kama jografia hukua unaikwepa class utatambua kuwa kutoka rabat mpaka mji wake wa ubelgiji ni saa moja tu na kuna regular flights za kwenda belgium, kila weekend au muda wowote anaweza enda kwao. Ni sawa yuko dar, uwanja kwa mkapa nyumbani bunju, yaani rabat na kwao ubelgijiSafi kabisa na aliondoka Simba kwa matatizo ya kifamilia.
Sizitaki mbivu hizi......Narudia tena,Huyo hamalizi mkataba na FAR Rabat hana Tactical za kutoboa kwa mpira wa Kaskazini mwa Africa
Patrick Aussems na CV yake yote October 4, 2020 ametimuliza na Black Leopard kwa wiki 6 tu.Sizitaki mbivu hizi......
Watu walikua wanailamu Simba Simba bure, hakuna kocha wa timu yoyote Africa Mashariki anayeweza kukataa dili ya kwenda Morocco, hasa mbelgiji.Figisu za Mo
Sure...Watu walikua wanailamu Simba Simba bure, hakuna kocha wa timu yoyote Africa Mashariki anayeweza kukataa dili ya kwenda Morocco, hasa mbelgiji.
Acha hasira paka mweusi wewe.Kumbe ulikuwa unampenda kocha? Afu naona utopolo ndani yako, kamalizie kusoma kitabu cha kihispania , ukifatilia mambo ya timu iliyo mbali zaidi ya timu yako utapata presha
Sven siyo kocha. Timu ilishindwa kuchangamka, wachezaji wanajichezea tu kama ihefuGabachori lina matatizo sana
Sawa ngoja tuone matokeo ya mechi 10 za mwanzo baada ya kishingo kusepa.Sven siyo kocha. Timu ilishindwa kuchangamka, wachezaji wanajichezea tu kama ihefu
Bora paka anatusaidia kuliko kuwa Nyani afu hana msaada wowote, zaidizaidi ni hasara tu na kujikuta unakuwa na vichembechembe vya chukiAcha hasira paka mweusi wewe.
Hakuna statement yoyote ya simba kusema hakua mwalimu mzuri.Mwaka huu tutashuhudia mengi soka la Afrika..Simba wanasema hakuwa mwalimu mzuri wengine wanasema alikuwa mwalimu mzuri..ngoja tuone nani alikuwa muhimu kwa mwenzake
Nyani fc ndo wako kundi ganiNyau Fc unadhani wazungu wanapenda kulala makaburini? Hawataki kabisa mambo hayo, na ndo maana kaenda kwa weupe wenzake
Safi kabisa na aliondoka Simba kwa matatizo ya kifamilia.