Aliyekuwa kocha wa Simba ajiunga na Far Rabat

Aliyekuwa kocha wa Simba ajiunga na Far Rabat

Je FAR Rabat wana chama, wana miquissone

Ngoja tuone anatokaje kule, rabat si giant wa Morocco, huku alikuwa na giant wa tz, ni kipimo tosha kwake..

Hapa kati sina uhakika kwa dili hili inawezekana ni yeye ndio kaiacha simba baada ya kupata dili kubwa zaidi
 
Safi kabisa na aliondoka Simba kwa matatizo ya kifamilia.
Pia kubalansi maisha ya familia yake na kazi. Kama jografia hukua unaikwepa class utatambua kuwa kutoka rabat mpaka mji wake wa ubelgiji ni saa moja tu na kuna regular flights za kwenda belgium, kila weekend au muda wowote anaweza enda kwao. Ni sawa yuko dar, uwanja kwa mkapa nyumbani bunju, yaani rabat na kwao ubelgiji
 
Mwaka huu tutashuhudia mengi soka la Afrika..Simba wanasema hakuwa mwalimu mzuri wengine wanasema alikuwa mwalimu mzuri..ngoja tuone nani alikuwa muhimu kwa mwenzake
 
Maisha ni safari....

Haya sasa Matola anamsubiri kocha mpya wa kigeni.....
 
Kumbe ulikuwa unampenda kocha? Afu naona utopolo ndani yako, kamalizie kusoma kitabu cha kihispania , ukifatilia mambo ya timu iliyo mbali zaidi ya timu yako utapata presha
Acha hasira paka mweusi wewe.
 
Nyau Fc unadhani wazungu wanapenda kulala makaburini? Hawataki kabisa mambo hayo, na ndo maana kaenda kwa weupe wenzake
 
Kumbe tatizo pesa bhana. Manyau Nyau hayawezi mlipa kocha, kocha akaamua kusepa!
 
Mwaka huu tutashuhudia mengi soka la Afrika..Simba wanasema hakuwa mwalimu mzuri wengine wanasema alikuwa mwalimu mzuri..ngoja tuone nani alikuwa muhimu kwa mwenzake
Hakuna statement yoyote ya simba kusema hakua mwalimu mzuri.
Masuala ya kazi ndiyo yako hivyo. Hata wewe ukipata sehemu yako nzuri utasema utatafuta sababu ya kuondoka ili usiharibu uhusiano na bosi wako saizi. Ila ukiwa na akili za Utopolo ni rahisi kuropoka tu hata kwa kitu usichokijui
 
Safi kabisa na aliondoka Simba kwa matatizo ya kifamilia.
FB_IMG_1610197464817.jpg
 
Back
Top Bottom