Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,599
- 9,532
Kuitwa Sokwe fc inauma sanaSio kila Mzungu ni Padri ni muda sasa kwa timu zetu kubwa kuwaamini makocha wazawa
Lkn ndio historia inasema hivyo umetokana na sokweKuitwa Sokwe fc inauma sana
Hata Mzungu pori wenu kamind sana.Yanga ni kweli mmemaind kuitwa manyani, mambwa na mambumbu au mlimchoka kocha wenu?
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Hata Mzungu pori wenu kamind sana.
Kwani DStv Shs ngapi?Ninyi mna matatizo.
Hata dstv ya elf 79 mmeshindwa kumunulia kocha.
Acha awatukane
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Kwani DStv Shs ngapi?
Kashindwa elfu 90 na Shs 44,000 kila mwezi.
Yule nguruwe aondoke tu.
Kwani DStv Shs ngapi?
Kashindwa elfu 90 na Shs 44,000 kila mwezi.
Yule nguruwe aondoke tu.
Alipwe millions DSTv iwe issue?Ni mkataba wake.
Sio yeye kwani GSM walikuwa hawajui?
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Sema wewe ni nyani sio sisiAngewekewa hata star times.ndo maana anaona hatuna akili. Nami siku zote nasema sisi yanga kweli tuna akili kuwa na watu namna hii?sasa majibu nmeyapata. Sisi ni manyani. Hatuna elimu.
Sema wewe ni nyani sio sisi
Waliokubali kuwa nyani.Kwani luc eymal kasema akina nani ni nyani?
Mnakimbilia kwa wazawa sababu hamna pesa ya kulipa kocha kazi kuzomea kama manyani na kubweka kama mbwaSio kila Mzungu ni Padri ni muda sasa kwa timu zetu kubwa kuwaamini makocha wazawa