Mzuqa wanajamvi!
Huyu dogo si ndie alikuwa anawaita CCM ukoo wa panya. Sasa naye amekuwa panya. Umetuangusha aiseee.
Sasa hivi na focus future sitaki kabisa IQ yangu iwe na mushkel.
Nikikumbuka ule uchaguzi wa marudio aliopambana na mkwe wa Lowassa, na jinsi alivyoungwa mkono, namshangaa sana. Nikikumbuka matusi ya Lusinde, nikikumbuka lile KOMBORA alilorushiwa Rais mstaafu Ben…… .ama kweli, Wanadamu, hatuna shukrani!Mzuqa wanajamvi!
Huyu dogo si ndie alikuwa anawaita CCM ukoo wa panya. Sasa naye amekuwa panya. Umetuangusha aiseee.
Sasa hivi na focus future sitaki kabisa IQ yangu iwe na mushkel.
Ile by election watu walijitolea kumlindia kura. Lusinde mkapa na makamba sr walijaribu wakashindwa. Bora angejiunga chama kingineNikikumbuka ule uchaguzi wa marudio aliopambana na mkwe wa Lowassa, na jinsi alivyoungwa mkono, namshangaa sana. Nikikumbuka matusi ya Lusinde, nikikumbuka lile KOMBORA alilorushiwa Rais mstaafu Ben…… .ama kweli, Wanadamu, hatuna shukrani!
oMzuqa wanajamvi!
Huyu dogo si ndie alikuwa anawaita CCM ukoo wa panya. Sasa naye amekuwa panya. Umetuangusha aiseee.
Alishindwa kuweka akiba ya maneno ona sasa naye amekuwa PANYA.Mzuqa wanajamvi!
Huyu dogo si ndie alikuwa anawaita CCM ukoo wa panya. Sasa naye amekuwa panya. Umetuangusha aiseee.
Amejilaaani kwa maneno yake mwenyewe. Kwa umri wake anaelekea kuwa maskini hohe hahe mbele ya macho ya watu wale wale aliowasaliti na kumkufuru MunguMzuqa wanajamvi!
Huyu dogo si ndie alikuwa anawaita CCM ukoo wa panya. Sasa naye amekuwa panya. Umetuangusha aiseee.
Mzuqa wanajamvi!
Huyu dogo si ndie alikuwa anawaita CCM ukoo wa panya. Sasa naye amekuwa panya. Umetuangusha aiseee.
That's why I hate Politik View attachment 1510928
Mwanaume wa kweli ni mwenye kifua. Na hapa Tanzania ni mmoja tuu ourambasada in chinaAlishindwa kuweka akiba ya maneno ona sasa naye amekuwa PANYA.
DOGO JINGA HATOBOI.
Nikikumbuka ule uchaguzi wa marudio aliopambana na mkwe wa Lowassa, na jinsi alivyoungwa mkono, namshangaa sana. Nikikumbuka matusi ya Lusinde, nikikumbuka lile KOMBORA alilorushiwa Rais mstaafu Ben…… .ama kweli, Wanadamu, hatuna shukrani!
Ile by election watu walijitolea kumlindia kura. Lusinde mkapa na makamba sr walijaribu wakashindwa. Bora angejiunga chama kingine
Mwanaume wa kweli ni mwenye kifua. Na hapa Tanzania ni mmoja tuu ourambasada in china
Hivi ni looser au loser ?Mzuqa wanajamvi!
Huyu dogo si ndie alikuwa anawaita CCM ukoo wa panya. Sasa naye amekuwa panya. Umetuangusha aiseee.
We jamaa una akili sana. Mimi nashangaa sana huu umaandazi wa mwanaume mzima unalia lia eti mwanasiasa amekusaliti!Lakini hamna kipya hapa kwanzia mwanzo hawa watu ni maslahi yao wanatafuta amna cha wanyonge wala maskini kila mtu apambane na hali yake
Ulitaka alie kasalitiwa na mkewe?We jamaa una akili sana. Mimi nashangaa sana huu umaandazi wa mwanaume mzima unalia lia eti mwanasiasa amekusaliti!