Aliyekuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari na Willy Qulwi Qambalo wa Karatu wajiunga CCM na kupokelewa na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa

We ni noma, kwa coded language. BTW hii kitu naisikia sikia hivi ni kweli jamaa alisaidiwa huku nyumbani ??!!!!
Teba kapigwa biti kali na kuchimbiwa mkwara asikanyage tena bongo. Sasa cha kushangaza MATAGA humu wanamponda Mbowe kwa Kugonga nje
 
Mwenyewe unganisha dots utapata jibu.
Siasa ni kazi kama kazi zingine. Na watu huwa wanafanya kazi kwa maslahi yao sio kufurahisha wengine.
Uko sahihi,sema siasa uongo mwingiiiiiii sana
 
Iyo looser ni ya England na iyo loser ni ya America ni kama humour na humor, kama neighbour na neighbor
Humor na humour upo sawa
Lakini
Looser na loser ni vitu viwili tofauti sana.
Tofauti yake wala haihusishi AmE or BrE

Loser noun yenye maana ya mtu aliyepoteza kitu /mtu while
Looser ni comparative form ya loose
 
Humor na humour upo sawa
Lakini
Looser na loser ni vitu viwili tofauti sana.
Tofauti yake wala haihusishi AmE or BrE

Loser noun yenye maana ya mtu aliyepoteza kitu /mtu while
Looser ni comparative form ya loose
"Itategemea nimeamkaje siku hiyo...."
 
Qambalo yuko wapi? www inasema yeye bado ni mbunge wa Chadema.

Amandla...
 
Kumbukizi yangu ni vile alivyopoteza Ubunge wa CHADEMA kwa kuacha kuhudhuria kwa vile alimpeleka mke wake mjamzito akazae Marekani. Kwa katiba yao yeyote aliyezaliwa Marekani hata kama ni kwenye ndege akuwa safarini transit automatically ni raia w Marekani akionyesha cheti cha hospitali. Alikuwa radhi mwanae awe na baraka ya uraia hata japo imgharimu ubinge. Nasikia vopngozi wakuu wa CHADEMA tundulissu mbowe na wenje ni hivohivo watoto wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…