johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Aliyekuwa Mbunge wa Bukoba mjini Mh. Wilfred Lwakatare amewataka wasomi wa CHADEMA kufanya tathmini ili kujua wanaongozwa na watu wa sampuli gani.
Lwakatare ambaye alikuwa akihutubia Wananchi katika mkutano mkubwa wa hadhara jimboni kwake amesema viongozi wa CHADEMA ni kama vile wana maplastiki vichwani badala ya ubongo.
Lwakatare amewashangaa CHADEMA wanavyompinga Rais Magufuli kwa mambo makubwa ya ujenzi wa miundombinu aliyoifanikisha wakati wao ukarabati wa jengo lao la Makao Makuu unawashinda ili hali wanapokea mabilioni ya shilingi kama ruzuku kila mwaka.
Lwakatare amesema CHADEMA siyo mahali salama kwa wanasiasa vijana wanaopenda maendeleo.
Source: Channel Ten
Maendeleo hayana vyama!