GE2025 Aliyekuwa mbunge wa CHADEMA aibukia CCM na kujitosa ubunge jimbo la Ileje

GE2025 Aliyekuwa mbunge wa CHADEMA aibukia CCM na kujitosa ubunge jimbo la Ileje

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Songwe kupitia CHADEMA ambaye hivi karibuni alitangaza kuhamia Chama cha Mapinduzi (CCM), Bi.Stella Fiyao, amechukua fomu ili kuomba ridhaa ya kugombea nafasi ya ubunge katika jimbo la Ileje lililopo mkoani humo.

Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025

Bi.Fiyao amechukua fomu hiyo katika ofisi za CCM Wilaya ya Ileje na kukabidhiwa na katibu wa chama hicho wa Wilaya hiyo Bw.Hassan Lyamba.

 
Back
Top Bottom