Uchaguzi 2020 Aliyekuwa mbunge wa Ndanda (CHADEMA), Cecil Mwambe aibukia CCM kuchukua fomu kutetea jimbo

Uchaguzi 2020 Aliyekuwa mbunge wa Ndanda (CHADEMA), Cecil Mwambe aibukia CCM kuchukua fomu kutetea jimbo

Replica

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2017
Posts
1,681
Reaction score
8,887
Aliyekuwa Mbunge wa Ndanda kupitia CHADEMA, Cecil Mwambe amechukua fomu ya kugombea Ubunge wa Jimbo hilo katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020 kupitia Chama cha Mapinduzi.

Mwambe.jpg
 
Ni haki yake kikatiba Acha aitimize..

Halafu suala la kuwa Mbunge au kutokuwa Mbunge awaachie wenye chama na wananchi wapiga kura ndo wataamua.
 
Ndanda
Oscar Anthony Ng'itu - 250
Faraja Nandala - 154
Cecil Mwambe - 33
Sa Oscar Anthony Ng'itu alipangiwa kazi nyingine,kama ubunge alidhulumiwa?
Gharama ya dhuluma ni kubwa sana.
 
Back
Top Bottom