johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Unamaanisha nini?Sa Oscar Anthony Ng'itu alipangiwa kazi nyingine,kama ubunge alidhulumiwa?
Gharama ya dhuluma ni kubwa sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamaanisha nini?Sa Oscar Anthony Ng'itu alipangiwa kazi nyingine,kama ubunge alidhulumiwa?
Gharama ya dhuluma ni kubwa sana.
Namaanisha huyo aliyeshinda kura za maoni,kuna namna wamemfuta machozi baada ya kumdhulumu ushindi wake?Unamaanisha nini?
Unaweza kuongoza kura za maoni CCM lakini ukakosa vigezo vya UteuziNamaanisha huyo aliyeshinda kura za maoni,kuna namna wamemfuta machozi baada ya kumdhulumu ushindi wake?
Kuna jamaa nilimsikia kuwa amepangiwa mahali kwenye moja ya mipaka yetuSa Oscar Anthony Ng'itu alipangiwa kazi nyingine,kama ubunge alidhulumiwa?
Gharama ya dhuluma ni kubwa sana.