J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Aug 26, 2022 #21 Msingida said: Sa Oscar Anthony Ng'itu alipangiwa kazi nyingine,kama ubunge alidhulumiwa? Gharama ya dhuluma ni kubwa sana. Click to expand... Unamaanisha nini?
Msingida said: Sa Oscar Anthony Ng'itu alipangiwa kazi nyingine,kama ubunge alidhulumiwa? Gharama ya dhuluma ni kubwa sana. Click to expand... Unamaanisha nini?
Msingida JF-Expert Member Joined Dec 1, 2010 Posts 10,239 Reaction score 11,731 Aug 26, 2022 #22 johnthebaptist said: Unamaanisha nini? Click to expand... Namaanisha huyo aliyeshinda kura za maoni,kuna namna wamemfuta machozi baada ya kumdhulumu ushindi wake?
johnthebaptist said: Unamaanisha nini? Click to expand... Namaanisha huyo aliyeshinda kura za maoni,kuna namna wamemfuta machozi baada ya kumdhulumu ushindi wake?
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Aug 26, 2022 #23 Msingida said: Namaanisha huyo aliyeshinda kura za maoni,kuna namna wamemfuta machozi baada ya kumdhulumu ushindi wake? Click to expand... Unaweza kuongoza kura za maoni CCM lakini ukakosa vigezo vya Uteuzi
Msingida said: Namaanisha huyo aliyeshinda kura za maoni,kuna namna wamemfuta machozi baada ya kumdhulumu ushindi wake? Click to expand... Unaweza kuongoza kura za maoni CCM lakini ukakosa vigezo vya Uteuzi
Kertel JF-Expert Member Joined May 11, 2012 Posts 5,425 Reaction score 5,227 Aug 26, 2022 #24 Msingida said: Sa Oscar Anthony Ng'itu alipangiwa kazi nyingine,kama ubunge alidhulumiwa? Gharama ya dhuluma ni kubwa sana. Click to expand... Kuna jamaa nilimsikia kuwa amepangiwa mahali kwenye moja ya mipaka yetu
Msingida said: Sa Oscar Anthony Ng'itu alipangiwa kazi nyingine,kama ubunge alidhulumiwa? Gharama ya dhuluma ni kubwa sana. Click to expand... Kuna jamaa nilimsikia kuwa amepangiwa mahali kwenye moja ya mipaka yetu