Aliyekuwa Mbunge wa Serengeti arejea CHADEMA. Aeleza kilichomsibu na kuomba msamaha

Aliyekuwa Mbunge wa Serengeti arejea CHADEMA. Aeleza kilichomsibu na kuomba msamaha

Rasterman

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2015
Posts
33,894
Reaction score
44,117
Ni mbunge wa zamani Jimbo la Serengeti. Ameeleza kuwa kile kilichowakimbiza Mh Lissu na Mh Lema kwenda ughaibuni ndio hicho hicho kilichomfanya kuunga juhudi.

Kwa maana nyingune kunguru Mwoga hukimbiza ubawa wake.

Mbunge akiwa chadema 2015 hadi 2018 alipoamua kuunga juhudi.

Aomba msamaha mbele ya hadhara.

 
Ni mbune wa zamani Jimbo la Serengeti. Ameeleza kuwa kile kilichowakimbiza Mh Lissu na Mh Lema kwenda ughaibuni ndio hicho hicho kilichomfanya kuunga juhudi.

Kwa maana nyingune kunguru Mwoga hukimbiza ubawa wake.

Mbunge akiwa chadema 2015 hadi 2018 alipoamua kuunga juhudi.

Aomba msamaha mbele ya hadhara.




Mbunge wa wanyama??
 
Atuambie alipewa bei gani?

Au zimeisha ndio anataka kurudi bungeni kupitia Chadema?
Hahahaa...... ameomba msamaha na ameahidi kupambana nao wanaosababisha umaskini Tz
 
Huyu jamaa alienda CCM Kwa vitisho alivopewa pia aliwaaibisha wanaume wa kikurya Kwa kuonyesha Hana msimamo kama mkurya.wakiwa na jirani yake mwita mwikwabe wa Tarime vijijini
Hali ilikuwa mbaya mzee. It was live or die situation
 
Kawaida maana lowassa na sumaye walirudi Ccm baada ya kukosa walichokifata chadema
 
Back
Top Bottom