Usilolijua ni kama usiku wa giza nene. Enzi zile za siasa ya kijahiria kukaa upinzani hasa kwa watu waliokuwa na profile kubwa kabisa serikalini kama Mzee Lowasa na Sumaye ilitakiwa uwe umejisusa hasa. Walikuwa wanaenda kupoteza mali na haki zao nyingi sana.Kawaida maana lowassa na sumaye walirudi Ccm baada ya kukosa walichokifata chadema
Hongera sana mama Samia. Umeleta utengamano na kuuondoa ujahiri