Ni mbune wa zamani Jimbo la Serengeti. Ameeleza kuwa kile kilichowakimbiza Mh Lissu na Mh Lema kwenda ughaibuni ndio hicho hicho kilichomfanya kuunga juhudi.
Kwa maana nyingune kunguru Mwoga hukimbiza ubawa wake.
Mbunge akiwa chadema 2015 hadi 2018 alipoamua kuunga juhudi.
Aomba msamaha mbele ya hadhara.
Alifika BeiAtuambie alipewa bei gani?
Au zimeisha ndio anataka kurudi bungeni kupitia Chadema?
Mbunge wa watu😅😅Mbunge wa wanyama??
Vitisho vilizidi hasa kwa wale vocalistAlifika Bei
Hahahaa...... ameomba msamaha na ameahidi kupambana nao wanaosababisha umaskini TzAtuambie alipewa bei gani?
Au zimeisha ndio anataka kurudi bungeni kupitia Chadema?
Vitisho huku unachukua kibunda?...wameuza tu hao.Vitisho vilizidi hasa kwa wale vocalist
Hali ilikuwa mbaya mzee. It was live or die situationHuyu jamaa alienda CCM Kwa vitisho alivopewa pia aliwaaibisha wanaume wa kikurya Kwa kuonyesha Hana msimamo kama mkurya.wakiwa na jirani yake mwita mwikwabe wa Tarime vijijini
😅😅Vitisho huku unachukua kibunda?...wameuza tu hao.
Na uhai ni maslahi zaidi.Siasa maslahi
Ngoja tuoneIli tujue umetubu kweli .usigombee UBUNGE
Umepotea njia. Nenda kule kwa Kula matunda bila masihara.Kumbe huku ni jukwaa la siasa
Mbele ya bundukiAlifika Bei
Una akili sanaIli tujue umetubu kweli .usigombee UBUNGE