Usilolijua ni kama usiku wa giza nene. Enzi zile za siasa ya kijahiria kukaa upinzani hasa kwa watu waliokuwa na profile kubwa kabisa serikalini kama Mzee Lowasa na Sumaye ilitakiwa uwe umejisusa hasa. Walikuwa wanaenda kupoteza mali na haki zao nyingi sana.Kawaida maana lowassa na sumaye walirudi Ccm baada ya kukosa walichokifata chadema
Usilolijua ni kama usiku wa giza nene
Aaah!..ameona kutoboa na kurudi bungeni kupitia CCM ya Samia ni ngumu ndio maana karudi CDM.Hahahaa...... ameomba msamaha na ameahidi kupambana nao wanaosababisha umaskini Tz
Jamaa wamejipanga na kuchagua kuwa kazi yao ni ubunge tu. Iwe kwa Chadema, CCm, AcT au Chaumma, ili mradi wawe wabunge.Aaah!..ameona kutoboa na kurudi bungeni kupitia CCM ya Samia ni ngumu ndio maana karudi CDM.
Jamaa ameshtukia mchezo mapema.Aaah!..ameona kutoboa na kurudi bungeni kupitia CCM ya Samia ni ngumu ndio maana karudi CDM.
π π πJamaa wamejipanga na kuchagua kuwa kazi yao ni ubunge tu. Iwe kwa Chadema, CCm, AcT au Chaumma, ili mradi wawe wabunge.
It was terrible.Usilolijua ni kama usiku wa giza nene. Enzi zile za siasa ya kijahiria kukaa upinzani hasa kwa watu waliokuwa na profile kubwa kabisa serikalini kama Mzee Lowasa na Sumaye ilitakiwa uwe umejisusa hasa. Walikuwa wanaenda kupoteza mali na haki zao nyingi sana.
Hongera sana mama Samia. Umeleta utengamano na kuuondoa ujahiri