Aliyekuwa mchumba wa Sugu, Faiza ashtakiwa na ndugu yake kwa kutishia kuua

Aliyekuwa mchumba wa Sugu, Faiza ashtakiwa na ndugu yake kwa kutishia kuua

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
Aliyekuwa mchumba wa mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph ‘Sugu’ Mbilinyi, Faiza Ally ameshtakiwa na binamu yake baada ya kudaiwa kumtishia kumuua.​

Faiza ambaye ni mama wa mtoto mmoja aliyezaa na Sugu ameandika kwenye Instagram: Nimefunguliwa kesi na ndugu yangu ..RAHMA MOHAMED kwa kesi ya kutishia kuua – dah kweli mtu akikusudia mabaya hashindwi – Mungu wangu nisimamie Ameen Niko oyster-bay police
 
Hajapata mtu wa kumsugua bado.Stress na hasira zitaisha
 
Ni vyema Chadema wakamtafutia wakili mzuri mama mto wa Sugu ili kuepuka kifungo. Au Sugu amrudie mke wake...
 
Back
Top Bottom