Mkuu,, nafikiri we need to be free.
Nasema hivyo coz kwa sasa ni kama tunachaguliwa watu wa kuwafanya marafiki/maadui na nchi hizi zenye nguvu.
Zikitaka mtu awe gaidi tunakubali, zikitaka mwingine awe shujaa tunakubali pia. Mifano iko mingi. Sisemi kama HAMAS wako sahihi, coz mie siungi mkono mauaji ila hata hao Israel walichofanya huko nyuma hata kupelekea hizi reaction za HAMAS na wanachoendelea kufanya pia sio sawa.
Ila Dunia inalazimishwa iwaone HAMAS ni magaidi kwa sabab wako against na matakwa ya wakubwa. Wangekua pro wakuu wa dunia wangeitwa mashujaa.
Hao wakubwa wanasupport harakati za Taiwan kujitenga na CHINA na kuwa taifa huru lakini hawataki harakati za kuundwa palestina huru.
Walimfurusha Gaddafi kwa sabab ya kuwanyima Raia Uhuru wa demokrasia lakini wanamwacha Theodor Obiang Nguema Mbassogo na Paul Biya waendelee na utawala ktk nchi zao licha ya malalamiko mengi ya ukandamizaji wa demokrasia dhidi yao.
Ni wao ndo walimweka Nelson Mandela kwenye orodha ya magaid na walimuondoa 1998,, sio kwa sabab alikua gaidi then akaacha ila ni kwa sabab alikua against wao lkn alipochukua nchi hakulipiza chochote dhidi ya maslah yao.
So to me, mtu anayeitwa gaidi na hawa wakubwa sio kwa sabab ni gaidi bali ni kwa sabab yuko against them. Na rafiki kwao hata awe na ubaya kiasi gani always atakua shujaa wa dunia.
Kufikia hapo nadhani ipo haja ya kuipitia definition ya "gaidi" kisha kuwa judge watu kama ni magaidi au la kutokana na vitendo vyao vyenye kufanana na definition ya neno gaidi.
Sapoti wapewe israel tu,wakipewa farastine "UNASAIDIA MAGAIDI"[emoji28][emoji28][emoji38]
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
HAYO YATAKUJA MWISHONI SIO SASA.ushindi wa farastine ni suala la muda tuAcheni kuchokonoa Wayahudi, hamuwezi kuwafuta kwenye ramani ya dunia, tatizo dini yenu inawaingiza mkenge, muarabu aliwaambia muue Wayahudi wote, sema kila mkijaribu mnakufa sana maana Mungu wao ana nguvu kuliko wa kwenu...
sahih muslim 2921
Abdullah b. 'Umar reported Allah's Messenger (ﷺ) as saying:
You and the Jews would fight against one another until a stone would say: Muslim, here is a Jew behind me; come and kill him.
Mkuu,, nafikiri we need to be free.
Nasema hivyo coz kwa sasa ni kama tunachaguliwa watu wa kuwafanya marafiki/maadui na nchi hizi zenye nguvu.
Zikitaka mtu awe gaidi tunakubali, zikitaka mwingine awe shujaa tunakubali pia. Mifano iko mingi. Sisemi kama HAMAS wako sahihi, coz mie siungi mkono mauaji ila hata hao Israel walichofanya huko nyuma hata kupelekea hizi reaction za HAMAS na wanachoendelea kufanya pia sio sawa.
Ila Dunia inalazimishwa iwaone HAMAS ni magaidi kwa sabab wako against na matakwa ya wakubwa. Wangekua pro wakuu wa dunia wangeitwa mashujaa.
Hao wakubwa wanasupport harakati za Taiwan kujitenga na CHINA na kuwa taifa huru lakini hawataki harakati za kuundwa palestina huru.
Walimfurusha Gaddafi kwa sabab ya kuwanyima Raia Uhuru wa demokrasia lakini wanamwacha Theodor Obiang Nguema Mbassogo na Paul Biya waendelee na utawala ktk nchi zao licha ya malalamiko mengi ya ukandamizaji wa demokrasia dhidi yao.
Ni wao ndo walimweka Nelson Mandela kwenye orodha ya magaid na walimuondoa 1998,, sio kwa sabab alikua gaidi then akaacha ila ni kwa sabab alikua against wao lkn alipochukua nchi hakulipiza chochote dhidi ya maslah yao.
So to me, mtu anayeitwa gaidi na hawa wakubwa sio kwa sabab ni gaidi bali ni kwa sabab yuko against them. Na rafiki kwao hata awe na ubaya kiasi gani always atakua shujaa wa dunia.
Kufikia hapo nadhani ipo haja ya kuipitia definition ya "gaidi" kisha kuwa judge watu kama ni magaidi au la kutokana na vitendo vyao vyenye kufanana na definition ya neno gaidi.
Wazungu siku zote ukiwapinga ww unaitwa gaidi hao hamas ni freedom fighter wanapambania nchi yao hata mandela aliitwa gaidi kwahyo hilo jina la ugaidi wanapewa watu wanaojitambua km ww mzee wa kukubali kuonewa unaitwa raia mwema.Duh! Afrika Kusini wanalo, kama ilifika wakaachia mazombi ya kidini mpaka yakafikia uongozi wa kuwa meya
A former mayor of Johannesburg, South Africa posts online a picture of himself holding an assault rifle accompanied with the words “we stand with Hamas,” before quickly pulling it offline.
Halafu Ramafosa ni Mnafiki Sana!Waafrika bhana,sijui nani katuroga,ingekuwa ni sisi weusi tuna uwawa hivi,usingeskia Mwarabu au mzunngu ana laani
Sadik Khan ni Meya WA Jiji la London ambaye ni mwislam,WA London NAO ni mazombi?wakaachia mazombi ya kidini mpaka yakafikia uongozi wa kuwa meya
Wazungu siku zote ukiwapinga ww unaitwa gaidi hao hamas ni freedom fighter wanapambania nchi yao hata mandela aliitwa gaidi kwahyo hilo jina la ugaidi wanapewa watu wanaojitambua km ww mzee wa kukubali kuonewa unaitwa raia mwema.
Leta ushahidi wa madai yako hapa la sihivyo labda kama ulibakwa wewe ?Freedom fighters wa kubaka wanawake na kuchoma moto vitoto vidogo vya kiyahudi?!
Hii mpya sasa