Aliyekuwa meya wa Johanesburg, bwana Amad aweka post ya kuunga ugaidi wa HAMAS

Sadik Khan ni Meya WA Jiji la London ambaye ni mwislam,WA London NAO ni mazombi?

Dogo unazingua mda flani.

Huyo utakuta kakaliwa kwenye koo, ninavyojua mkikaliwa huwa mnaishi kwa adabu.
 
Leta ushahidi wa madai yako hapa la sihivyo labda kama ulibakwa wewe ?
Ushahidi zama YouTube Mbona video zipo! Tena Hamas wenyewe ndio walijirecord wakifanya vitendo vya kijinai huku wakimtukuza allah
 
Duh! Afrika Kusini wanalo, kama ilifika wakaachia mazombi ya kidini mpaka yakafikia uongozi wa kuwa meya

amad-e1700603876651.jpg

A former mayor of Johannesburg, South Africa posts online a picture of himself holding an assault rifle accompanied with the words “we stand with Hamas,” before quickly pulling it offline.
Wewe punguani kweli yaani unataka kila mtu awe shoga, hii dunia siyo ya Marekani na Israel yaani unataka wanachosema dunia nzima wafuate?
the U.S. officially considered Mandela a terrorist. During the Cold War, both the State and Defense departments dubbed Mandela’s political party, the African National Congress, a terrorist group, and Mandela’s name remained on the U.S. terrorism watch list till 2008.
 
Wapigania uhuru akina Mandela, Nkrumah, Patrice Lumumba nk huwezi kuwaweka kapu moja na wachinjaji Hamas.
Hamas level zao ni ISis, alshabaab, Al nusra etc
 
Mkuu,, nafikiri we need to be free.

Nasema hivyo coz kwa sasa ni kama tunachaguliwa watu wa kuwafanya marafiki/maadui na nchi hizi zenye nguvu.

Zikitaka mtu awe gaidi tunakubali, zikitaka mwingine awe shujaa tunakubali pia. Mifano iko mingi. Sisemi kama HAMAS wako sahihi, coz mie siungi mkono mauaji ila hata hao Israel walichofanya huko nyuma hata kupelekea hizi reaction za HAMAS na wanachoendelea kufanya pia sio sawa.

Ila Dunia inalazimishwa iwaone HAMAS ni magaidi kwa sabab wako against na matakwa ya wakubwa. Wangekua pro wakuu wa dunia wangeitwa mashujaa.

Hao wakubwa wanasupport harakati za Taiwan kujitenga na CHINA na kuwa taifa huru lakini hawataki harakati za kuundwa palestina huru.

Walimfurusha Gaddafi kwa sabab ya kuwanyima Raia Uhuru wa demokrasia lakini wanamwacha Theodor Obiang Nguema Mbassogo na Paul Biya waendelee na utawala ktk nchi zao licha ya malalamiko mengi ya ukandamizaji wa demokrasia dhidi yao.

Ni wao ndo walimweka Nelson Mandela kwenye orodha ya magaid na walimuondoa 1998,, sio kwa sabab alikua gaidi then akaacha ila ni kwa sabab alikua against wao lkn alipochukua nchi hakulipiza chochote dhidi ya maslah yao.

So to me, mtu anayeitwa gaidi na hawa wakubwa sio kwa sabab ni gaidi bali ni kwa sabab yuko against them. Na rafiki kwao hata awe na ubaya kiasi gani always atakua shujaa wa dunia.

Kufikia hapo nadhani ipo haja ya kuipitia definition ya "gaidi" kisha kuwa judge watu kama ni magaidi au la kutokana na vitendo vyao vyenye kufanana na definition ya neno gaidi.
Facts
 
Historia ya ugomvi wa pale Palestine iko very complex na hauwezi ukaitatua kwa maugaidi ya kuchinja watoto, pili hauwezi ukaitatua kwa kukusudia kufuta jamii ya Wayahudi, inapaswa iwaingie akilini wote wanaoshabikia HAMAS kisa dini.
Wapalestina lazima wakubali kuishi na Wayahudi kwa amani, hao Wayahudi hawafi na watakuwepo hadi mwisho wa dunia.
Hii ramani itakupa historia ndogo kwanini inashindikana

main-qimg-37a970b86ff95d571d09cb9e34ec222c
Kumbe wewe do unaponzwa na ushabiki wa kidini. Ni nini kinachokupa imani kwamba wayahudi hawawezi kufutika kama sio imani za kidini za wanaosema kwamba israel ni taifa la mungu?

Binafsi siiangalii hili jambo kwa mtazamo wa kidini. Muhimu ni kupina ubaya wowote unaofanywa na pande zote dhidi ya ubinadamu. HAMAS wameua watu wasio na hatia na kuwateka wengine, majeshi y Israel yamefanya mara dufu ya kile kilichofanywa na HAMAS. Watu wengi raia wakiwemo watoto wameuawa kwa mabomu. Ukatili huu haukubaliki.

Mwl Nyerere ambaye anafanyiwa mchakato wa kuwa mtakatifu aliwahi kuvunja uhusiano wa kidiplomasia na Israel kutokana na matendo ya namna hii. Chambilecho waumini wa kawaida kama mimi ambao hatuna hadhi hata ya kuitwa 'wenyeheri" ndo tujifanye tunajua saana uteule wa wayahudi????

Halaf nani kakwambia wapalestine hawataki kuishi na wayahudi? Unakumbuka makubaliano ya Oslo? Unajua nani alifanya yasitekelezwe???
Karibu tujadiliane kiongozi ila binafsi sioni nafasi ya udini kwenye mgogoro huu.
 
Kwahiyo wale wanaoitwa magaidi sio magaidi?ebu fafanua vzr tukuelewe.

Namaanisha kwamba usiwaamini sana wazungu wanapomwita mtu gaidi ukadhani ni gaidi kweli. Wao kwao gaidi ni mtu yeyote anayekwenda against na maslahi au matakwa yao. Ukiwa upande wao hata uwe na unyama kias gani utakua shujaa tu.
 
Mkuu,, nafikiri we need to be free.

Nasema hivyo coz kwa sasa ni kama tunachaguliwa watu wa kuwafanya marafiki/maadui na nchi hizi zenye nguvu.

Zikitaka mtu awe gaidi tunakubali, zikitaka mwingine awe shujaa tunakubali pia. Mifano iko mingi. Sisemi kama HAMAS wako sahihi, coz mie siungi mkono mauaji ila hata hao Israel walichofanya huko nyuma hata kupelekea hizi reaction za HAMAS na wanachoendelea kufanya pia sio sawa.

Ila Dunia inalazimishwa iwaone HAMAS ni magaidi kwa sabab wako against na matakwa ya wakubwa. Wangekua pro wakuu wa dunia wangeitwa mashujaa.

Hao wakubwa wanasupport harakati za Taiwan kujitenga na CHINA na kuwa taifa huru lakini hawataki harakati za kuundwa palestina huru.

Walimfurusha Gaddafi kwa sabab ya kuwanyima Raia Uhuru wa demokrasia lakini wanamwacha Theodor Obiang Nguema Mbassogo na Paul Biya waendelee na utawala ktk nchi zao licha ya malalamiko mengi ya ukandamizaji wa demokrasia dhidi yao.

Ni wao ndo walimweka Nelson Mandela kwenye orodha ya magaid na walimuondoa 1998,, sio kwa sabab alikua gaidi then akaacha ila ni kwa sabab alikua against wao lkn alipochukua nchi hakulipiza chochote dhidi ya maslah yao.

So to me, mtu anayeitwa gaidi na hawa wakubwa sio kwa sabab ni gaidi bali ni kwa sabab yuko against them. Na rafiki kwao hata awe na ubaya kiasi gani always atakua shujaa wa dunia.

Kufikia hapo nadhani ipo haja ya kuipitia definition ya "gaidi" kisha kuwa judge watu kama ni magaidi au la kutokana na vitendo vyao vyenye kufanana na definition ya neno gaidi.
Asipokuelewa hapa hii ng'ombe ya kikenya basi hatoelewa tena,,
 
Wazungu siku zote ukiwapinga ww unaitwa gaidi hao hamas ni freedom fighter wanapambania nchi yao hata mandela aliitwa gaidi kwahyo hilo jina la ugaidi wanapewa watu wanaojitambua km ww mzee wa kukubali kuonewa unaitwa raia mwema.
Wambieni ukweli Hamas watumie akili sawasawa na iwapasavyo. Yaani wanajua wakiuwa mwisrael majibu yanakuwa mabaya alafu wanarusha maroketi. Akili zangine hovyo Sana.
 
Kumbe wewe do unaponzwa na ushabiki wa kidini. Ni nini kinachokupa imani kwamba wayahudi hawawezi kufutika kama sio imani za kidini za wanaosema kwamba israel ni taifa la mungu?

Binafsi siiangalii hili jambo kwa mtazamo wa kidini. Muhimu ni kupina ubaya wowote unaofanywa na pande zote dhidi ya ubinadamu. HAMAS wameua watu wasio na hatia na kuwateka wengine, majeshi y Israel yamefanya mara dufu ya kile kilichofanywa na HAMAS. Watu wengi raia wakiwemo watoto wameuawa kwa mabomu. Ukatili huu haukubaliki.

Mwl Nyerere ambaye anafanyiwa mchakato wa kuwa mtakatifu aliwahi kuvunja uhusiano wa kidiplomasia na Israel kutokana na matendo ya namna hii. Chambilecho waumini wa kawaida kama mimi ambao hatuna hadhi hata ya kuitwa 'wenyeheri" ndo tujifanye tunajua saana uteule wa wayahudi????

Halaf nani kakwambia wapalestine hawataki kuishi na wayahudi? Unakumbuka makubaliano ya Oslo? Unajua nani alifanya yasitekelezwe???
Karibu tujadiliane kiongozi ila binafsi sioni nafasi ya udini kwenye mgogoro huu.

Huwezi kuepuka dini kwenye huu ugomvi maana ndio chanzo chake, mazombi wameelekewezwa kidini kufuta Wayahudi.
Anyway hata hivyo soma hii analysis ya huyu jamaa utajifunza kitu Picha: Hii ramani inatumika sana kueneza uwongo wa mashabiki wa magaidi ya HAMAS humu
 
Dini ipi sasa ambayo imeelekezwa kufuta wayahudi?
Hapo watu wanagombania ardhi na uhuru wa kuanzisha nchi mkuu. Si unaona jinsi Israel inavyoendelea kuwabana Palestine kwa kuvamia maeneo yanayokaliwa na wapalestine kisha kujenga makazi ya walowezi?
Ni wapi duniani unaweza kuvamia makazi ya watu, kuwatimua wenyeji na kujenga ya kwako halafu pasiwe na mgogoro/ugomvi/vita?

Halafu kama ni ugomvi wa kidini wewe ni myahudi? Mbona unawatetea israel ambao majority ni wayahudi? Western countries ni wayahudi?? Mbona wapo na Israel ya wayahud??
Hakuna dini pale. Pale ni ugomvi wa eneo tu ambao kwa sehemu kubwa umetengenezwa na wakoloni waliotawala Palestine.
Thanks ntaipitia hii link mkuu nione kama kuna cha kujifunza.
 
Duh! Afrika Kusini wanalo, kama ilifika wakaachia mazombi ya kidini mpaka yakafikia uongozi wa kuwa meya

amad-e1700603876651.jpg

A former mayor of Johannesburg, South Africa posts online a picture of himself holding an assault rifle accompanied with the words “we stand with Hamas,” before quickly pulling it offline.
Israel was formed in 1948PLO was formed in 1964Israel occupied and annexed Gaza and West Bank in 1967Hamas was formed in 1987Israel invaded Lebanon in 1978Hizbollah was formed in 1982 Israel is the problemEducate yourself
 
Back
Top Bottom