McLaren
JF-Expert Member
- Feb 19, 2025
- 1,170
- 3,743
Majalio Kyara aliyekuwa Mgombea Urais kupitia Chama cha Sauti ya Umma (SAU) amesema mchakato wa uchaguzi umeisha, na sasa jambo ambalo linatakiwa kufanyika ili kutuweka pamoja ni mazungumzo ili kumaliza tofauti zilizojitokeza.
Amesema Watanzania wanapaswa kuacha vurugu, badala yake watafute suluhu kwa njia ya mazungumzo ili kuepuka athari zitokanazo na uvunjifu wa amani kwa mwananchi mmoja na Taifa kwa ujumla.
“Ni dhamira ya Rais Samia Suluhu Hassan kuhakikisha tunaanzisha mazungumzo ya maridhiano ili hata hao wachache wanapata nafasi ya kusikilizwa na kuwa na taifa lenye amani na utulivu,” amesema Dk Nchimbi akiwashukuru viongozi wa SADC.