GE2025 Aliyekuwa mgombea wa ACT Wazalendo, Jackson Kangoye, ajiunga na CCM wakati wa kampeni za Samia

GE2025 Aliyekuwa mgombea wa ACT Wazalendo, Jackson Kangoye, ajiunga na CCM wakati wa kampeni za Samia

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

PAYE

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2025
Posts
459
Reaction score
644
Aliyekuwa mgombea Ubunge kupitia Chama cha ACT Wazalendo Jackson Kangoye amejiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakati wa mkutano wa kampenzi za mgombea Urais wa CCM, Samia Suluhu Hassan zilizofanyika Musoma Mjini Oktoba 9, 2025.

Soma: Tarime Mjini; Mgombea wa ACT-Wazelendo, Jackson Kangoye aenguliwa na INEC kumsaidia Esther Matiko

Kangoye amesema, watu wanaohamasisha vurugu kipindi hiki cha uchaguzi ni vibaka wanaotaka kuiba mali za watu. Amewataka Watanzania kuimarisha amani iliyoasisiwa na Viongozi waliopita.

 
Back
Top Bottom