GE2025 Aliyekuwa Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chadema Taifa Andrea Oisso, amejiunga rasmi CHAUMMA

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Aliyekuwa Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chadema Taifa Andrea Oisso, ambaye hapo awali alitangaza kujiondoa CHADEMA kutokana na kutokubaliana na msimamo wa chama hicho kuchukua mrengo wa kususia Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 kwa madai ya kutaka mageuzi kwanza, ameweka wazi kuwa tayari amepata jukwaa jingine la kisiasa atakalolitumia kuendeleza dhamira yake ya kuwatumikia wananchi wa Rombo

Andrea Oisso amebainisha kuwa sasa ni mwanachama rasmi wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), na tayari amekabidhiwa kadi ya chama hicho na Naibu Katibu Mkuu wa CHAUMMA bara, Benson Kigaila. Amesisitiza kuwa hakuhama CHADEMA kwa lengo la kuwasaliti wenzake walioko katika mapambano ya mabadiliko, bali kwa nia ya kuhakikisha kuwa anaendelea kukabiliana na utawala wa CCM kupitia njia nyingine halali za kisiasa

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Soma pia:
“Dhamira yangu ya kuwatetea wananchi wa Rombo haijawahi kuyumba. Nilitangaza mapema kuwa nitaendelea kupigania haki zao, na sasa nimepata jukwaa la kufanya hivyo. CCM Rombo haitapita bila kuwekewa upinzani wa kweli,” amesema Oisso.

Ameeleza kuwa nchi imeendelea kuwa maskini na mifumo yake kutokuaminika kwa sababu ya utawala wa muda mrefu wa CCM, na kwamba si sahihi kuisubiri CCM ilete mageuzi yenyewe huku wapinzani wakikaa pembeni. “Kuendelea kuwaachia eti hadi waje wenyewe na reforms ni kuwaongezea nguvu zaidi. Sisi tutasimama. Rombo tukiamua tunaweza,” amesisitiza.

Katika hatua nyingine, Oisso ametoa rai kwa watu wote wanaoamini katika mabadiliko kujitokeza kuchukua fomu za kugombea nafasi mbalimbali za uongozi kupitia CHAUMMA. Ameeleza kuwa mchakato wa kuchukua fomu kwa ajili ya kugombea nafasi za Udiwani, Udiwani Viti Maalum na Ubunge umefunguliwa rasmi na chama hicho kuanzia tarehe 01 Julai 2025

Kwa Mkoa wa Kilimanjaro, zoezi hilo linaratibiwa na Katibu wa CHAUMMA Mkoa, Bazil Lema ambaye pia ndiye Mratibu wa Uchaguzi wa Mkoa huo. Andrea Oisso amethibitisha kuwa naye atachukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea Ubunge wa Rombo muda si mrefu

“Bila kujali kejeli na dhihaka za wachache walioamua kuisaidia CCM, mimi nitasimama kuhesabiwa. Katika hili, hayupo wa kunirudisha nyuma. Rombo ni yetu sote, na wakati wa kusimama kwa ajili ya haki na maendeleo ndio huu,” amesema

1752248579775.png

Chanzo: JAMBO TV
 
View attachment 3402064

Chanzo: JAMBO TV
Subirini mapovu toka kwa machadomo
 
Chama cha siasa kinachokimbia uchaguzi wakati huo huo kinataka kushika dola hicho chama hakijitambui.kinaongozwa na watu wa hovyo sana.Hata wafuasi wake hawajitambui
 
na kina furahia wanachama kuondoka 🤣 🤣 🤣
 
Ajabu sana.Wanachama wakibaki wanaitwa wazalendo wakiondoka wanaambiwa walamba asali.Wanatangaza anayetaka kuondoka aondoke
🤣 🤣 🤣 hii ndo chadomo! wenzao wanatafuta wanachama kwa nguvu zote wao wanafukuza
 
Back
Top Bottom