Pagan Amum
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 1,932
- 4,403
Shit just got real!
Mkuu wengine kizungu hatujui aisee!!Shit just got real!
Sucks to be him, though.
Umeharibu hapo kwenye mytakeMara baada ya kusimamishwa kazi Jana, Nehemia Mchechu kakamatwa na TAKUKURU kwa mahojiano zaidi. Taarifa zinasema Junanne atapandishwa mahakamini kwa makosa kadhaa yakiwemo uhujumu uchumi, uchepushaji na matumizi mabaya ya madaraka
Mytake: Kwa kweli Rais Magufuli Mungu azidi kukubariki sana sana. Unafanya kazi iliyotukuta hasa kwa wanyonge. Mungu akubariki sana Rais Magufuli
Kachelewa kutimkaNilisema hapa Nehemia mkono wa Dolla hauewezi kumuacha safe
Shit just got real!
Sucks to be him, though.
Kumbe mambo yake unayajuwa, tuwekee nasi tutowe tongotongo.Nilisema hapa Nehemia mkono wa Dolla hauewezi kumuacha safe
Mnafiki Tu.Sasa bila shaka mtaelewa kwa nini Rais wetu anaomba tumwombee.Kwa dhati ya moyo wake ameamua kusafisha nchi anapaswa kuungwa mkono na kila mtanzania mwenye nia njema na nchi hii.Nataka niwambie kwa mwendo huu Tanzania mpya yenye maendeleo haiepukiki.viva Magufuli viva Tanzania tuendelee kumwombea apambane na wale wote walikwisha ibia nchi hii kwa muda mrefu
Kwa nini mkuu? Inaonekana unazo taarifa nyingi kuhusu utendaji wake zaidi ya tuhuma zilizopo Takukuru.Nilisema hapa Nehemia mkono wa Dolla hauewezi kumuacha safe
Mnafiki naniMnafiki Tu.
Yani intelligence yake sijui ilikuwa ina mshauri nini, ile hali kitumbua kilishaingia mchanga muda tuKachelewa kutimka