Tetesi: Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Nehemia Mchechu akamatwa na TAKUKURU

Status
Not open for further replies.
Mara baada ya kusimamishwa kazi Jana, Nehemia Mchechu kakamatwa na TAKUKURU kwa mahojiano zaidi. Taarifa zinasema Junanne atapandishwa mahakamini kwa makosa kadhaa yakiwemo uhujumu uchumi, uchepushaji na matumizi mabaya ya madaraka

Mytake: Kwa kweli Rais Magufuli Mungu azidi kukubariki sana sana. Unafanya kazi iliyotukuta hasa kwa wanyonge. Mungu akubariki sana Rais Magufuli

Mnyeti anakamatwa lini na Takukuru?
 
Kukamatwa kwa Mchechu na kusaidia wanyonge inaendana vipi? Au kukamatwa kwa Mchechu, wanyonge wanapata chakula?
 
Sasa bila shaka mtaelewa kwa nini Rais wetu anaomba tumwombee.Kwa dhati ya moyo wake ameamua kusafisha nchi anapaswa kuungwa mkono na kila mtanzania mwenye nia njema na nchi hii.Nataka niwambie kwa mwendo huu Tanzania mpya yenye maendeleo haiepukiki.viva Magufuli viva Tanzania tuendelee kumwombea apambane na wale wote walikwisha ibia nchi hii kwa muda mrefu
Huyu jamaa ni mzee wa dili siku nyingi sana. Kinachonishangaza ni kuwa hakusoma maandishi ukutani? Alifikiri bado ni kipindi na yule rais legelege!
 
Sasa bila shaka mtaelewa kwa nini Rais wetu anaomba tumwombee.Kwa dhati ya moyo wake ameamua kusafisha nchi anapaswa kuungwa mkono na kila mtanzania mwenye nia njema na nchi hii.Nataka niwambie kwa mwendo huu Tanzania mpya yenye maendeleo haiepukiki.viva Magufuli viva Tanzania tuendelee kumwombea apambane na wale wote walikwisha ibia nchi hii kwa muda mrefu
Wacha asafishe nchi aondoke wengine waongoze!
 
takukuru siku hizi wana ona kweli na wanakuweka ndani muda mrefu sana
 
Kukamatwa kwa Mchechu na kusaidia wanyonge inaendana vipi? Au kukamatwa kwa Mchechu, wanyonge wanapata chakula?
Hili ndio tatizo kubwa tulilonalo watanzania wengi. Nashangaa mpaka watu wenye ufahamu wa kutumia computer tunashindwa kuona correlation kati ya ufisadi na umaskini wa nchi! You must be joking dude kuuliza kukamatwa kwa mtuhumiwa wa ufisadi kunasaidia vipi maskini!
 
Kweli moyo ni mdanganyifu kuliko vyote, tena una ugonjwa wa kufisha. Mtu unalamba mshahara halali wa zaidi ya 20m kwa mwezi lkn bado haiutoshi!

Mimi nikipata mshahara wa usd 5,000/ = kwa mwezi sina sababu ya kufanya ufisadi.

Vv
 
Kama hauna jibu bora ukae kimya.
 
Bashite inabidi ajifunze kitu hapa, sizonje anaweza kukugeuka muda wowote ILi apate kiki. Bashite is not safe like he thinks he is. Mzee kipara ndumi la kuwili anang'ata na kupuliza
 
Kweli moyo ni mdanganyifu kuliko vyote, tena una ugonjwa wa kufisha. Mtu unalamba mshahara halali wa zaidi ya 20m kwa mwezi lkn bado haiutoshi!

Mimi nikipata mshahara wa usd 5,000/ = kwa mwezi sina sababu ya kufanya ufisadi.

Vv

Mkuu hizo nyingi mimi hata $1,000@month za halali kwangu tosha. Tena naweza kujihisi ni fisadi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom