Tetesi: Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Nehemia Mchechu akamatwa na TAKUKURU

Status
Not open for further replies.
Kweli moyo ni mdanganyifu kuliko vyote, tena una ugonjwa wa kufisha. Mtu unalamba mshahara halali wa zaidi ya 20m kwa mwezi lkn bado haiutoshi!

Mimi nikipata mshahara wa usd 5,000/ = kwa mwezi sina sababu ya kufanya ufisadi.

Vv
Tamaa ya kuwa na Mali nyingi tena bila uhalali wowote ndio shida. Vijana wana Tamaa sana
 
Kweli moyo ni mdanganyifu kuliko vyote, tena una ugonjwa wa kufisha. Mtu unalamba mshahara halali wa zaidi ya 20m kwa mwezi lkn bado haiutoshi!

Mimi nikipata mshahara wa usd 5,000/ = kwa mwezi sina sababu ya kufanya ufisadi.

Vv
Usd 5000 bado kubwa, mimi kwa usd 500 naokoka kabisa naanza kuimba na mapambio.
 
Safi sana afungwe jela. Huyo huyo aliyemtuma kubomoa billicanas Leo kamgeuka.
Law of Karma... yeye kajifanya mjanja na kiherehere kumvunjia Mbowe bila hata notice, sasa leo yamemrudi.... na serikali walivo watafya watampa shitaka la kutakatisha fedha akanyee ndoo kwanza.. Aisee hapa duniani mtu usiwe na kiherehere ingawa bado ntazidi kumkubali huyu jamaa ila kwa issue ya kamanda Mbowe nilimchukia sana
 
Siwezi kumuunga mkono rais wa visasi, anayekumbatia mabashite, anayevunja nyumba za wanyonge, anyesigina demokrasia, ameweka kapuni katiba mpya, anayefurahia watu wake kula msoto, asiyetaka wengine waombewe, asiyehudhuria misiba, anayekula rambirambi, anayesema wazi hakuna kuchagua wapinzani kama vile siasa imekuwa uadui, anayezalisha wake za watu, anayehubiri amani wakati kaficha panga mgongoni. Anayetafuta kiki kwa vitu ambavyo ni vya kawaida, nini Msechu, tuliona akina Mramba wakiingia jela. Anayetufanya kwa kutudanganya dollar bilioni moja zimekamatwa, kama vile dollar hizo ni hela ya kukaa kwenye handbag, asiyetimiza ahadi zake, wapi millioni 50 kwa kila kijiji. NIKISEMA NTAMWOMBEA NTAKUWA MNAFIKI KAMA YEYE, AKINILAZIMISHA KUMWOMBEA NTAOMBA KINYUME
 
Umeweka Kimytake cha kijinga sana ! Ungeweza kuweka uzi wako bila uzushi wowote na bado ungelipwa tu .
 
Vizuri, Ila si ielewi serikali, Ramadhan Dau na wenzake wanaponaje? nao tuhuma zao si ndo kama hizo
 

Sasa unazuia ufisadi wa Mchechu, hizo ulizomzuia Mchechu unaenda kununulia wawakilishi wa upinzani. Halafu unatumia hizi hela kurudia uchaguzi!! Kama sio wenda wazimu ni nini?
 

Toa povu lakini huyo ndio Rais wetu
Huna lakumsaidia umuunge mkono au la
 
Anaona huo uhusiano na anaujua lakini amejisikia tu kufunika macho na kutembea bila mavazi barabarani.
 


Tangu umeacha kumuunga mkono Raisi wetu umempunguzia nini?
 
Usd 5000 bado kubwa, mimi kwa usd 500 naokoka kabisa naanza kuimba na mapambio.
Kwenye uchumi kuna kitu tunakiita ''non-satiation" yaani kwa mfano wewe kama unaona hiyo $5000 au $500 kwako nyingi ukishaipata kuna kitu rohoni kitatokea automatically na kujikuta unatamani $10,000 na $1000 ndo ipo hivo yani, kwenye pesa na mafanikio hakuna hali ya kuridhika
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…