Hivi huyu alikuwa hausiki na ile maximum 15m ya mkuu??Kweli moyo ni mdanganyifu kuliko vyote, tena una ugonjwa wa kufisha. Mtu unalamba mshahara halali wa zaidi ya 20m kwa mwezi lkn bado haiutoshi!
Mimi nikipata mshahara wa usd 5,000/ = kwa mwezi sina sababu ya kufanya ufisadi.
Vv
Safi kabisa kama kwa mwendo huu tutaenda mpaka kwenye kivuko kilee, mabilioni ya ujenzi,vichwa vya treni na kandarasi fake za Kiwanja.Sasa bila shaka mtaelewa kwa nini Rais wetu anaomba tumwombee.Kwa dhati ya moyo wake ameamua kusafisha nchi anapaswa kuungwa mkono na kila mtanzania mwenye nia njema na nchi hii.Nataka niwambie kwa mwendo huu Tanzania mpya yenye maendeleo haiepukiki.viva Magufuli viva Tanzania tuendelee kumwombea apambane na wale wote walikwisha ibia nchi hii kwa muda mrefu
Kick gani za kutengenezwa?, uwe una reason usifuate mkumbo kama nyumbuSasa huyu hakamatwi kwa kick za kutengenezwa?
Sasa kama wewe haikuhusu hizi tantalila za nni?...SANA SANA MTALIA NA KUSAGA MENO. TENA KUFA SO MREFU MTAMLAUMU MAGUFULI KULIKO MARAIS WOTE WALIOPITA.
Yale ni makosa aliyafanya akiwa Dc amepnda cheo tumefuta makosa DPP hana nia ya kuendelea na kesi tusubiri tena akikosea akiwa Rc tutamshughulikiaMnyeti anakamatwa lini na Takukuru?
Bila shaka hunifahamu ndio maana umeandika hivyo.mimi sio masikini na sio fisadi.ila penye ukweli tuseme ukweli nchi hii ni kwetu sisi Leo na kesho ni watoto wetu na wajukuu.ikiwa ufisadi ulioanza kujengeka ungeachwa utamalaki tena kwa miaka kumi nchi ingeweza kuanguka kabisa.tumshukuru sana Mungu kumwinua Magufuli kwa wakati wake na kwa majira yake ili atuokoe.kazi hii anayofanya Magufuli si yeye bali Mungu anayofanya kupitia kwa Magufuli na akisha kumaliza kazi ya Mungu aliyotumwa kuifanya atapumzika ila kwa sasa tumpe support yote ili atimize utume wake kwa watanzaniaTatizo lako unashangilia watu wawe na hali ya umaskini kama ulivyo ww,pole sana jitahd kutafuta na uwaombee walionazo waendelee kuwa nazo ili kuna siku na wwutapitia hapo.
Jamaa ana niniNilisema hapa Nehemia mkono wa Dolla hauewezi kumuacha safe
Who cares?Siwezi kumuunga mkono rais wa visasi, anayekumbatia mabashite, anayevunja nyumba za wanyonge, anyesigina demokrasia, ameweka kapuni katiba mpya, anayefurahia watu wake kula msoto, asiyetaka wengine waombewe, asiyehudhuria misiba, anayekula rambirambi, anayesema wazi hakuna kuchagua wapinzani kama vile siasa imekuwa uadui, anayezalisha wake za watu, anayehubiri amani wakati kaficha panga mgongoni. Anayetafuta kiki kwa vitu ambavyo ni vya kawaida, nini Msechu, tuliona akina Mramba wakiingia jela. Anayetufanya kwa kutudanganya dollar bilioni moja zimekamatwa, kama vile dollar hizo ni hela ya kukaa kwenye handbag, asiyetimiza ahadi zake, wapi millioni 50 kwa kila kijiji. NIKISEMA NTAMWOMBEA NTAKUWA MNAFIKI KAMA YEYE, AKINILAZIMISHA KUMWOMBEA NTAOMBA KINYUME
Mara baada ya kusimamishwa kazi Jana, Nehemia Mchechu kakamatwa na TAKUKURU kwa mahojiano zaidi.
Taarifa zinasema Junanne atapandishwa mahakamini kwa makosa kadhaa yakiwemo uhujumu uchumi, uchepushaji na matumizi mabaya ya madaraka
Mytake:
Kwa kweli Rais Magufuli Mungu azidi kukubariki sana sana. Unafanya kazi iliyotukuta hasa kwa wanyonge. Mungu akubariki sana Rais Magufuli
Watu km nyinyi mnabidi mnyongwe tuMnafiki Tu.
Muda si mdaUsinipotezee mda wangu. Kaa kimya.
Hata huyo unaye mzungumzia mtume wa mungu unamfaham vzuri?au unasema tu ili watu wasome?kwann husemi juu ya maonevu wanayofanyiwa watu ni kweli skujui lkn pia nadhani hunijui fanya uchunguzi umjue mtume vzuri.Bila shaka hunifahamu ndio maana umeandika hivyo.mimi sio masikini na sio fisadi.ila penye ukweli tuseme ukweli nchi hii ni kwetu sisi Leo na kesho ni watoto wetu na wajukuu.ikiwa ufisadi ulioanza kujengeka ungeachwa utamalaki tena kwa miaka kumi nchi ingeweza kuanguka kabisa.tumshukuru sana Mungu kumwinua Magufuli kwa wakati wake na kwa majira yake ili atuokoe.kazi hii anayofanya Magufuli si yeye bali Mungu anayofanya kupitia kwa Magufuli na akisha kumaliza kazi ya Mungu aliyotumwa kuifanya atapumzika ila kwa sasa tumpe support yote ili atimize utume wake kwa watanzania
Mytake:
Kwa kweli Rais Magufuli Mungu azidi kukubariki sana sana. Unafanya kazi iliyotukuta hasa kwa wanyonge. Mungu akubariki sana Rais Magufuli
Subiri wakati wa Dau unakuja halitasalia jiwe juu ya jiwe litakalobaki salama. Mawe yote yatageuzwa.ni swala la wakati tu.Mbn dau wa nssf hakamatwi, hii ni double std analeta jpm