Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,067
- 10,938
Huu ndio mwisho wa heshima ya Bwana Kimei.Aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Ndugu Charles Kimei amefika katika ofisi za CCM Kuchukua fomu za kuomba ridhaa ya Chama cha Mapinduzi-CCM kupeperusha bendera Jimbo la Vunjo.
Pia soma> Uchaguzi 2020 - Dkt. Charles Kimei Mbunge mtarajiwa Vunjo
View attachment 1506515
Mbatia huko alipo atakuwa anaumia sana. Hapa Kimei atapata asubuhi na mapema. Iam sure CCM watampitisha. Maana kura za maoni hilo halina shaka kishashinda.Mama Tanzania itakua Mama Vunjo.
Madudu yapi ?Wengine wanafanya madudu kisomi. Hata ukimtafuta hupati traces. Ni kama mzee wa vijisenti huwezi dhibitisha madudu yake.Huu ndio mwisho wa heshima ya Bwana Kimei.Siasa ni chafu, na madudu yakesasa hadharani.
sasa hivi Mbatia ile kipara inamtoka jashoMbatia huko alipo atakuwa anaumia sana. Hapa Kimei atapata asubuhi na mapema. Iam sure CCM watampitisha. Maana kura za maoni hilo halina shaka kishashinda.
Na asahau viti maalum. Maana Magufuli sio JK.sasa hivi Mbatia ile kipara inamtoka jasho
Aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Ndugu Charles Kimei amefika katika ofisi za CCM Kuchukua fomu za kuomba ridhaa ya Chama cha Mapinduzi-CCM kupeperusha bendera Jimbo la Vunjo.
Pia soma> Uchaguzi 2020 - Dkt. Charles Kimei Mbunge mtarajiwa Vunjo
View attachment 1506515
Afisa Uchaguzi ona hapa watu wanavyojua kusuka mipango ya kupiga hela!Aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Ndugu Charles Kimei amefika katika ofisi za CCM Kuchukua fomu za kuomba ridhaa ya Chama cha Mapinduzi-CCM kupeperusha bendera Jimbo la Vunjo.
Pia soma> Uchaguzi 2020 - Dkt. Charles Kimei Mbunge mtarajiwa Vunjo
View attachment 1506515
Wizara sensitive hio hawezi kaa apoDr. Mpango ajipange uwaziri wa Fedha
Meaning??Wizara sensitive hio hawezi kaa apo