Uchaguzi 2020 Aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dkt. Kimei achukua fomu ya kutia nia jimbo la Vunjo kupitia CCM

Uchaguzi 2020 Aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dkt. Kimei achukua fomu ya kutia nia jimbo la Vunjo kupitia CCM

CEO/MD alikuwa anachezea Mabilioni ya Shilling na Dollar leo anaenda kukimbizana na Tsh 12m per month.

Huo mkopo wa 800m+ alikuwa na uwezo wa kuupata pale CRDB!!
Mabilioni hayo sio mali yake ni mali ya kampuni ya crdb ni sawa useme dr mpango anachezea matrilioni ya shilingi wizarani hela hizo zake ni bajeti ya serikali.
 
Daaah Daktari Kimei ni mtu mwenye uwezo mkubwa sana, CCM doesn't deserve such a guy.
Nimejisikia vibaya sana kuona msomi kama yeye anajiingiza kwenye hizi siasa za Tanzania.
 
Mbatia kashapewa alichostahili, maana alidanganya kuwa anawafuasi wengi kutoka cdm.

Matokeo yake kila alipo kuwa anaaga na wale wafuasi feki wanarudi cdm
Huku ndio kuna mbatia,pia kuna mrema
 
Wewe mwenyewe ndio mchafu zaidi, wacha kuwa na wivu wa kijinga mwacheni naye atumie haki yake kikatiba ya kuchagua na kuchaguliwa.

Kama ulikuwa ni mpambe wa Mbatia tayari kishawaka rudisha posho hiyo maana hamtapata kitu hapo.
Huu ndio mwisho wa heshima ya Bwana Kimei.
Siasa ni chafu, na madudu yake sasa hadharani.
 
Chenge Akili kubwa ndo mwanasiasa aliyebaki wa CCM halambi miguu...hivi amechukua fomu? Maana naona atakatwa
Madudu yapi ?Wengine wanafanya madudu kisomi. Hata ukimtafuta hupati traces. Ni kama mzee wa vijisenti huwezi dhibitisha madudu yake.
 
Back
Top Bottom