Uchaguzi 2020 Aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dkt. Kimei achukua fomu ya kutia nia jimbo la Vunjo kupitia CCM

Uchaguzi 2020 Aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dkt. Kimei achukua fomu ya kutia nia jimbo la Vunjo kupitia CCM

Kachukue form wewe.Halafu hili jina lako linanikumbusha yule mtia nia Bariadi ,alifariki ghafla.Yule ilikuwa lazima ashinde lile jimbo letu.R.I.P Jidula mabambasi.
Ni mimi rimerudi, waritaka kunichukua musukule ....waapi!
 
CEO/MD alikuwa anachezea Mabilioni ya Shilling na Dollar leo anaenda kukimbizana na Tsh 12m per month.

Huo mkopo wa 800m+ alikuwa na uwezo wa kuupata pale CRDB!!
Kweli Watanzania ni wajinga na wabinafsi.. Kwahiyo wewe unachoona ni Ubunge ni kujineemesha yeye na familia yake??

Huyo hana shida na pesa mkuu, hata hiyo 12m anaweza kuisign tu ikasaidie yatima..
 
Mama Tanzania aanze kuongea kwa tashwishwi kama prof kabudi tuone itakuaje
 
Jimbo la Vunjo watia nia 28 siku ya kwanza tu, Kilimanjaro nzima watia nia 241 na uenda wakaongezeka siku tatu zijazo.

Ukichukua watu wote wanaogombea ubunge na udiwani wa vyama vyote nchi nzima si ajabu tunajuza uwanja wa mpira. Siasa kweli ni ajira yenye mvuto.
 
Mbatia huko alipo atakuwa anaumia sana. Hapa Kimei atapata asubuhi na mapema. Iam sure CCM watampitisha. Maana kura za maoni hilo halina shaka kishashinda.
Yule ndo wazir wa fedha ajaye au gavana kabisa
 
CEO/MD alikuwa anachezea Mabilioni ya Shilling na Dollar leo anaenda kukimbizana na Tsh 12m per month.

Huo mkopo wa 800m+ alikuwa na uwezo wa kuupata pale CRDB!!
kumbe hawa waheshimiwa sana wanaweza pata milioni 800 ?
 
Mkuu huyu hakufuata pesa,pesa anazo za kutosheleza bajeti ya serikali hii.
Huyu anataka kurudisha Mkoa wa Kilimanjaro CCM iliwasitengwe na serikali ya CCM.Wameishaona hasara zake hasa toka Magu achukuwe madaraka.In return matajiri wa Kilimanjaro warudi kufanya investment nchini.
Nafikiri hata yule Mkuu wa Mkoa wa Tabora mstaafu yupo kutimiza jambo hilo hilo,kushiriki kwenye maamuzi ya kiserikali ngazi za juu.
Ila sijui yule NCCR aliyetumikia CCM kwa uwanifu ataenda wapi?
nimecheka sana hapo uliposema ana pesa za kutosheleza bajeti ya serikali hii [emoji23][emoji23]
embu ngoja na mimi nitafute pesa aise
 
CEO/MD alikuwa anachezea Mabilioni ya Shilling na Dollar leo anaenda kukimbizana na Tsh 12m per month.

Huo mkopo wa 800m+ alikuwa na uwezo wa kuupata pale CRDB!!
Uyo anaenda kutafuta political power tu kwasasa kitu ambacho alikuwa hana
 
Huu ndio mwisho wa heshima ya Bwana Kimei.
Siasa ni chafu, na madudu yake sasa hadharani.
Haina tatizo mwache ajaribu na huko huenda atalamba shavu la uwaziri na akafanya vizuri.
Kulikuwa na fununu alipofungua tawi la crdb chato kuwa uwaziri wa fedha ni ahadi kwake toka ukuluni
 
Back
Top Bottom