Hela hazijai bwana asikwambie mtu.
Africa siasa ndio kila kitu, Nilitegemea mtu kama Kimei awe na likampuni likubwa sana au share holder mkubwa sana wa likampuni likubwa sana Tanzania na Africa likiwa limeajiri maelfu ya vijana wa KiAfrica lakini dah anakwenda kubishana hoja na akina Mlinga, Lijuakali, Kibajaji, Msukumu nk..
Hii ndio Tanzania bwana, raha sana kuishi huku..no stress..