barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Sababu ya wagombea wengi sisiemu kujitokeza ni wameona sasa sisiemu ya jpm inakubalika zaidi kwa wananchi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama sammata,kutoka champions league hadi championship,lakini yote maisha.Hela hazijai bwana asikwambie mtu.
Africa siasa ndio kila kitu, Nilitegemea mtu kama Kimei awe na likampuni likubwa sana au share holder mkubwa sana wa likampuni likubwa sana Tanzania na Africa likiwa limeajiri maelfu ya vijana wa KiAfrica lakini dah anakwenda kubishana hoja na akina Mlinga, Lijuakali, Kibajaji, Msukumu nk..
Hii ndio Tanzania bwana, raha sana kuishi huku..no stress..
Mo ni Mfanyabiashara!!umesahau kuwa Mo alikuwa mmbunge !!
Sasa niwekee nami hiyo video.Ungeone video ya magufuli wakati yupe geita wanafungua tawi la crdb maneno alosema kwa kimei ... usingeandika hivyo[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Huyo anapita bila shida labda kifo kimtenganishe
Mkuu VIP unaweza ukakujua wengine waliochukua fom kwa ccm vunjo?Mbatia huko alipo atakuwa anaumia sana. Hapa Kimei atapata asubuhi na mapema. Iam sure CCM watampitisha. Maana kura za maoni hilo halina shaka kishashinda.