Halafu kuna mtu bado anakuambia ukapige kura. Seriously....!!?
Kura za wajumbe zinatosha.
Hata kama katiba inaruhusu busara machoni pa wengi inachukuliwaje. Haya ndio mambo yanawapa wapinzani point.Kwani katiba haimruhusu.?
Kwani katiba haimruhusu.?
Mgongano wa masilahiKwani katiba haimruhusu.?
kwani sasa hivi ni mtumishi wa NEC?Mgongano wa masilahi
Ya uzandikiAna PhD ya kitu gani
🤣🤣🤣Ya uzandiki
Ni mwanahisabati mzuri tu.Ana PhD ya kitu gani
Mwachieni Mwalimu wa Hesabu wa Vyuo vya Tanzania na Ulaya...kufundishia hesabu za namna ile siyo masihara. Muacheni akapumuzike ili apate Wasaa wa kuboresha mwongozo wa dira ya Taifa akiwa huko mjengoni....kiwa Mgombea
Kwa akili yako SUGU anaweza kuwa mkurugenzi wa TUME?Kwani katiba haimruhusu.?