Ni kijitabu tu.Kwani katiba haimruhusu.?
😂😂😂Halmashauri kuu ya Chama cha Mapinduzi ( CCM) Taifa imempitisha aliyekua Mkurugenzi wa Tume huru ya Uchaguzi Tanzania (NEC), Dkt. Wilson Mahera Charles kiwa Mgombea ubunge katika Jimbo la Butiama.
Dkt Wilson Mahera Charles aliteuliwa October 1, 2019 na Hayati Rais John Pombe Magufuli kuwa Mkurugenzi wa Tume huru ya Uchaguzi (NEC) na baadaye Februari 26, 2023 aliteuliwa na Rais Samia kuwa Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI).
Halafu Shemeji yangu Pascal Mayalla, bado unanishauri kwenda kupanga foleni na kupiga kura chini ya tume ya aina hii! Mkurugenzi wa tume ya uchaguzi anateuliwa kuwa mgombea ubunge kupitia ccm! IGP mstaafu anateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa! Kuna Ma RPC kibao wamegombea nafasi za uongozi ndani ya ccm!Halmashauri kuu ya Chama cha Mapinduzi ( CCM) Taifa imempitisha aliyekua Mkurugenzi wa Tume huru ya Uchaguzi Tanzania (NEC), Dkt. Wilson Mahera Charles kiwa Mgombea ubunge katika Jimbo la Butiama.
Dkt Wilson Mahera Charles aliteuliwa October 1, 2019 na Hayati Rais John Pombe Magufuli kuwa Mkurugenzi wa Tume huru ya Uchaguzi (NEC) na baadaye Februari 26, 2023 aliteuliwa na Rais Samia kuwa Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI).
Hata steve nyerere anawezaKwa akili yako SUGU anaweza kuwa mkurugenzi wa TUME?