GE2025 Aliyekuwa Mkurugenzi wa NEC apitishwa na CCM kugombea Ubunge

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Halafu Shemeji yangu Pascal Mayalla, bado unanishauri kwenda kupanga foleni na kupiga kura chini ya tume ya aina hii! Mkurugenzi wa tume ya uchaguzi anateuliwa kuwa mgombea ubunge kupitia ccm! IGP mstaafu anateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa! Kuna Ma RPC kibao wamegombea nafasi za uongozi ndani ya ccm!

Aisee utanisamehe tu. Kamwe sitokuja kushiriki kwenye haya maigizo.
 
Mbona unachanganya kati ya NEC na INEC? japo wote ni matapeli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…