wambagusta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2014
- 2,825
- 2,292
Ngoja tuingie kazini , tutakuletea picha yake ya harusi au kipaimaraHuyu mwamba mpake leo picha yake huipati kirahisirahisi
Ova
Wametuzidi nini?Mauaji ya Kimbari yalitokea muda mfupi baada ya Ndege iliyobeba marais wawili wa Rwanda na Burundi kutunguliwa muda mfupi kabla ya kutua kigalli ikitokea Arusha
Hata Mkurunzinza wakati wa JK aliitwa Dar kwa mazungumzo na akiwa ndani ya Ukumbi wa Mkutano JK akamjulisha kuwa umepinduliwa …baadae makomandoo wetu wakafanikiwa kumrejesha Madarakani ndani ya saa 48
bado kule Comoro bado kule Madagascar wakati wa Afande Abdulrahman Shimbo
kwny anga la Kimataifa tumepotea sana Wallah…leo hii Kigali wametuzidi
Kigali kwenda Mozambique unaona wanetuzidi!?..dunia mpya, nyendo mpya,utatuzi mpya wa matatizoMauaji ya Kimbari yalitokea muda mfupi baada ya Ndege iliyobeba marais wawili wa Rwanda na Burundi kutunguliwa muda mfupi kabla ya kutua kigalli ikitokea Arusha
Hata Mkurunzinza wakati wa JK aliitwa Dar kwa mazungumzo na akiwa ndani ya Ukumbi wa Mkutano JK akamjulisha kuwa umepinduliwa …baadae makomandoo wetu wakafanikiwa kumrejesha Madarakani ndani ya saa 48
bado kule Comoro bado kule Madagascar wakati wa Afande Abdulrahman Shimbo
kwny anga la Kimataifa tumepotea sana Wallah…leo hii Kigali wametuzidi
Nyie kama jiwe huyu