Aliyekuwa Mkurugenzi wa usalama wa taifa IMRAN KOMBE ndiye anadaiwa anajua ukweli wa hili kuhusu Rwanda mauaji ya kimbali 1994

Duh! umesababisha nifikirie mengi! Nashindwa hata cha kuchangia maana akili yangu inanizidi uwezo na kuandiaka kipi niache kipi
 
Mauaji ya Kimbari yalitokea muda mfupi baada ya Ndege iliyobeba marais wawili wa Rwanda na Burundi kutunguliwa muda mfupi kabla ya kutua kigalli ikitokea Arusha

Hata Mkurunzinza wakati wa JK aliitwa Dar kwa mazungumzo na akiwa ndani ya Ukumbi wa Mkutano JK akamjulisha kuwa umepinduliwa …baadae makomandoo wetu wakafanikiwa kumrejesha Madarakani ndani ya saa 48

bado kule Comoro bado kule Madagascar wakati wa Afande Abdulrahman Shimbo

kwny anga la Kimataifa tumepotea sana Wallah…leo hii Kigali wametuzidi
 
Wametuzidi nini?
 
Kigali kwenda Mozambique unaona wanetuzidi!?..dunia mpya, nyendo mpya,utatuzi mpya wa matatizo
 
Back
Top Bottom