RWANDES
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,788
- 4,401
Hii ni habari mpya kabisa kijana mchapakazi Paul Makonda kwa taarifa zilizopo huenda akawa RC mkoa wa Shinyanga, nadhani kijana huyu huenda anateuliwa kwa kuwa kuna maridhiano ya siasa na siasa za upinzani anazimudu ni kiongozi anayejua jinsi ya kucheza mpira na wapinzani.
Kama ni kweli namtakia kila la heri katika utumishi wake.
Kama ni kweli namtakia kila la heri katika utumishi wake.