Tetesi: Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam katika Serikali ya Awamu ya Tano Paul Makonda kuwa Mkuu wa Mkoa Shinyanga

Naona ana jipigia debe mwenyewe. Njaa mbaya sana
 
Hizo ni ndoto zako tu, Ila utakapo ona kuna choo mbele yako, amka usingizini, UTAJINYEA Bure.

Kituo kinachofuata kwa Makonda ni Jela tu, haijalishi miaka 5 au 20 mbele
 
Sawa ndio vizuri Ili Chadema wamuumbue
 
Acha wivuuu, hiiii safu inasibiriwaa saaanaa saaana. Mimi maoni yangu makonda apewee dar kabisaaa
 
Muuaji mkubwa yule, alistahili kuwa kifungoni au kitanzini
 
Acha wivuuu, hiiii safu inasibiriwaa saaanaa saaana. Mimi maoni yangu makonda apewee dar kabisaaa
Landmines katika Siasa zake ni nyingi kuliko za Angola na Ukraine, atakayejaribu kutembea katika terrain ya Makonda, ajihesabu amekwisha.

Aliyetoa amri Lissu auwawe hayupo, ila aliyetekeleza yupo, na anasemwasemwa.

Ukijiunga naye, unakuwa umeunga mkono yaliyofanyika, na hata majadiliano ya CDM na CCM Yana haki ya kufa kuanzia tarehe ya uteuzi
 
Hakika hizi ni habari njema haswa kama huyo Bwana amekuwa nje ya ajira kwa kipindi chote hicho bila shaka hizi ni habari za matumaini kwake na familia.

Basi na akawe mchapa kazi ili anayempa ajira aone kuwa hajakosea.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu sina hakika sana kama unafikiri kwa kutumia kichwa, hivi wapinzani ndio wamereta utitiri wa tozo na hali ngumu ya maisha hata wachukiwe😵

Kwa taarifa yako hawa wapinza siyo kwamba ni vugu vugu tu hapana hawa ni moto tena siyo wa kubeza hususan chadema

Watu kama nyinyi ndio mlipa kichwa hayati akashindwa kujipanga kiushindani matokeo yake kwenye uchaguzi akaweka mpila kwapan yaan zake akawapa na zakwao akachukua yeye

Kiricho fatia wote tunajua walizaliwa viumbe wa ajabu yaan covd19 viumbe wasio na kwao ili tu liledubwana lipoe maisha yaendelee
 

Kwa alivyoichafua familia ya msoga kwa kusema kijana wake ni muuza gypsum powder kwa kweli hili nalipinga haitokei maana kwa sasa kj ndio mshauri mkuu wa mama kitu kama hili sahau
 
Kuna tetesi pia kuwa alishiriki kumpiga Lisu risasi ndiyo unasema kigezo kuwa aliziweza siasa za upinzani? Muulize Roma Mkatoliki alimficha wapi? akimpa U -RC, basi wapinzani wajue kuna jambo baya kwao linakuja. Nimemuonya Lisu asithubutu kuja huku!Rubbish!
 
Shinyanga nimemwomba mama anipe mimi nijitolee wala asihangaike kutafuta mtu wa kutafuna hela yetu. Mimi nitafanya kazi zote kwa kujitolea kwa kipindi cha miaka miwili!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…