Uchaguzi 2020 Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Gabriel Daqqaro achukua fomu kuomba ridhaa ya kuwania ubunge jimbo la Babati Vijijini kupitia CCM

Uchaguzi 2020 Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Gabriel Daqqaro achukua fomu kuomba ridhaa ya kuwania ubunge jimbo la Babati Vijijini kupitia CCM

Nyendo

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Posts
1,336
Reaction score
4,731
Daqqaro.jpg

Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Arusha Gabriel Daqqaro amechukua fomu kuomba ridhaa ya kuwania ubunge jimbo la Babati vijijini kupitia Chama Cha Mapinduzi-CCM
 
Mazee yameshindwa kuitekeleza ile kauli ya kujiajili
 
Si ni yule uteuzi wake umetengulia juz na Jamaa zake Gambo. Si ndo yule aliwahi kuwa mlinzi wa Rais. Si ndo yule yuko kitengoni kule au? Si ndo yuleee......
 
Kila anapojitokeza Mtu mmoja kuchukua fomu ya ubunge Basi hivyo hivyo account ya Chama Cha kijani nayo inajitokeza kusoma tarakim za fedha..

Waache waendelee kutunisha mfuko wa chama Cha kijani.
 
Back
Top Bottom