Uchaguzi 2020 Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini, Patrobas Katambi achukua fomu kuomba kugombea Ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini kupitia CCM

Aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Dodoma mjini Patribas Katambi amechukuwa form kuwania kiti cha ubunge shinyanga mjini , patrobas katambi amekuwa mtiania wa 49 shinyanga mjini huku wanaitajwa kuwa na nguvu ndani ya chama wakitajwa ni gasper kileo na Steven masele.

=======
Mkuu wa wilaya ya Dodoma Patrobas Katambi leo Jumatano Julai 15,2020 amechukua Fomu kuomba kugombea Ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Mwaka 2015 akiwa Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa CHADEMA (BAVICHA) Patrobas Katambi aligombea Ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini kupitia CHADEMA,hata hivyo Stephen Masele (CCM) aliibuka mshindi kiti cha Ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini na mwaka 2017 Katambi alijiunga CCM na baadaye kuteuliwa kuwa mkuu wa wilaya ya Dodoma.

Kuna kijana pale añaitwa Dr Emmanuel Kiberiti yupo smart sana kuliko huyu kalai,baba yake ni Daktari mstaafu( kolandoto hospital).
 
Aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Dodoma mjini Patribas Katambi amechukuwa form kuwania kiti cha ubunge shinyanga mjini , patrobas katambi amekuwa mtiania wa 49 shinyanga mjini huku wanaitajwa kuwa na nguvu ndani ya chama wakitajwa ni gasper kileo na Steven masele.

=======
Mkuu wa wilaya ya Dodoma Patrobas Katambi leo Jumatano Julai 15,2020 amechukua Fomu kuomba kugombea Ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Mwaka 2015 akiwa Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa CHADEMA (BAVICHA) Patrobas Katambi aligombea Ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini kupitia CHADEMA,hata hivyo Stephen Masele (CCM) aliibuka mshindi kiti cha Ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini na mwaka 2017 Katambi alijiunga CCM na baadaye kuteuliwa kuwa mkuu wa wilaya ya Dodoma.

Huyu atakuwa replaced leo leo,wenzake wakiwa wanaapishwa. Imekula kwake na Shy town hawezi kupata.
 
Hujui watu wewe kaa kimya

Watu wapo kazini

Unadhani alikuwa CDM huyu, ndio makosa mnafanya CDM

Watu wapo kazini,endeleeni kuvamia watu,nchi hii ilijengwa na Nyerere.

Period
Ramli za kitoto sn hizi.nyambafu et kazini hata mtoto wako atakwambia biashara ya manunuz ilivyokua.walikwepo akina malando magwiji wa tiss sembuse hicho kikarai
 
Dogo ndiyo atajua fitna za CCM zilivyo, bila kuomba usaidizi wa baba yao aliyewanunua kaisha- dadadeq. CCM ya Masele haijafa Shy...!!
Masele upepo wake kule ngazi za juu ni utatanishi, huenda ccm ikachukua hata mshindi namba 4 kumuepuka Masele .Stay tuned.
 
Hujui watu wewe kaa kimya

Watu wapo kazini

Unadhani alikuwa CDM huyu, ndio makosa mnafanya CDM

Watu wapo kazini,endeleeni kuvamia watu,nchi hii ilijengwa na Nyerere.

Period
Wakumbushe nyumbu hawa, leo tena kuna sherehe ya kumpokea shushu kule ACT, Kweli upinzani sikio la kufaaaa
 
anakosa vyote, kwanza hajaoa anajua baada ya uchaguzi kupita Rais hatakuwa tayari kuteua au kubakia teuzi za MABACHELOR, mabachela mwisho wake mwezi wa kumi. Kwenye ubunge hata wazinzi wasiooa wagombee tu

Nasikitika mkurugenzi wake wa jiji bado hajaoa hadi sasa, sijui nyumba za serikali huko uzunguni kama zipo salama sana......hakuna uchafu huko,watulie waoe kwanza mengine baadae
Nasikia wote wawili ni wateja wazuri sana wa wale madada poa uhindini
 
Aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Dodoma mjini Patribas Katambi amechukuwa form kuwania kiti cha ubunge shinyanga mjini , patrobas katambi amekuwa mtiania wa 49 shinyanga mjini huku wanaitajwa kuwa na nguvu ndani ya chama wakitajwa ni gasper kileo na Steven masele.

=======
Mkuu wa wilaya ya Dodoma Patrobas Katambi leo Jumatano Julai 15,2020 amechukua Fomu kuomba kugombea Ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Mwaka 2015 akiwa Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa CHADEMA (BAVICHA) Patrobas Katambi aligombea Ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini kupitia CHADEMA,hata hivyo Stephen Masele (CCM) aliibuka mshindi kiti cha Ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini na mwaka 2017 Katambi alijiunga CCM na baadaye kuteuliwa kuwa mkuu wa wilaya ya Dodoma.

Hilo jina la Kileo naomba akagombee kwao tafadhali.
Wanashinyanga msituletee wageni hapo.
Wao kule Kilimanjaro wanawaita KIASAKA yaani MTU KUTOKA PORINI.

2020
 
Wateule wameamua kuupuuza mkwara mbuzi wa mteuzi wao, unaambia wenzio waridhike wewe umeridhika!!
 
watu wanataka nafasi zipi zaidi hizi si ndio nafasi wa utekelezaji wa sera na mipango ya chama kwanini tena wanatafuta ubunge
 
Hujui watu wewe kaa kimya

Watu wapo kazini

Unadhani alikuwa CDM huyu, ndio makosa mnafanya CDM

Watu wapo kazini,endeleeni kuvamia watu,nchi hii ilijengwa na Nyerere.

Period
Wapumbavu kama wewe sijui mtaisha lini kama ni ivyo CHADEMA ya kujaziwa ma spy ivyo basi waga inashinda kila chaguzi na CCM wanatumia nguvu kubwa sana kushindana na CHADEMA
 
Kila aliyekuwa CDM akajiunga CCM alikuwa kazini..
Acheni kurishana upumbafu huko...
Yaani watu kila kitu wanawaza ajabu ajabu tu.Pas hakuwa kazini wala nini kasota pale kwa Diallo,Chadema imempaisha baadae kahamia CCM.
 
Back
Top Bottom